GwamahalaJR
JF-Expert Member
- Jul 18, 2019
- 414
- 769
Watapauka...Hiyo top 3 utaipata vp wakati una westham wanao hitaji point 1 ili wasishuke daraja, kisha una Leicester king power utapigwa mpka upauke
Kamba,Kuna mdau aliwahi niambia kuwa mshindi wa FA ndio anapata mpunga mrefu zaidi kuliko ata bigwa wa ligi kuu epl. Maana lile kombe la FA mdhamini mkuu ni malkia Elizabeth kwahiyo anamwaga pesa ndefu huko. Pia eti epl ni umaarufu tu ila kwa mpunga ni FA. Ufafanuzi tafadhali
Kwa kufungwa auUnited ndio talk of the town we are big fellaz no matter what
Yaani ktk makombe ambayo hayana mpunga ni FA na sidhani kama inadhid £10mKuna mdau aliwahi niambia kuwa mshindi wa FA ndio anapata mpunga mrefu zaidi kuliko ata bigwa wa ligi kuu epl. Maana lile kombe la FA mdhamini mkuu ni malkia Elizabeth kwahiyo anamwaga pesa ndefu huko. Pia eti epl ni umaarufu tu ila kwa mpunga ni FA. Ufafanuzi tafadhali
Zama za Sir alex zimeshapita, imeisha hiyoUnited ndio talk of the town we are big fellaz no matter what
lewandoski wamembania dah,
Bora ubaki na DeGea kuliko kumleta huyo Henderson.✓Wan Bissaka kama ataanza msimu ujao namna hii anavyocheza baada ya corona break,basi inabidi tuingie sokoni tu mapema..Poor ball control,Poor crossing and Poor defending ndo mambo anayoyafanya tokea ligi irudi
✓Maguire+Lindelof=Sijawahi kuamini kama ni strong CB combination inayoweza kutufanya tukimbize ulaya..Maguire ana makosa madogo madogo mengi na Lindelof ni mlaini at times na pia huwa analala usingizi uwanjani at times..Big Big worry
✓David De Gea naye ni tatizo..Siku hizi mechi moja anacheza poa,saves za kutosha,then mechi ijayo anafungwa vigoli vya kichoko..That's his trend now..At this point nisingewaza,ningemleta Dean Henderson nyumbani
-Ole inabidi afanye kazi kubwa sana kwenye defence yetu..japo toka january hatukuwa vibaya sana lakini hii sio defence ya kuchallenge ligi kuu au kupambana Ulaya
Chelsea wametufunga easy goals sana jana..
Let's fight for the UCL spot
GGMU
mapato ya televisheni na dividend kwa shareholder ndio yanayowapa jeuri vilabu vya uingereza kwenye soko la usajili na mishahara kwa sababu vina uhakika wa kupata fedha nyingi.
- team zote zina equal share jambo linalopelekea kila timu ivune gawio sawa na msimu wa 2018/2019 kila team ilipata paundi millioni 80
- utofauti wa mapato hujitokeza pale wanapoangalia nguvu ya timu kimatokeo ( merit payments) ambapo mshindi wa kwanza anapata zaidi ya mshindi wa pili na wengineo. Msimu uliopita man city walipata paundi millioni 38 za kubeba ubingwa huku liverpool walipata paundi millioni 36 kwa kushika nafasi ya pili
- halafu nadhani wanaangalia team ambayo itakayoonyeshwa zaidi mechi zake moja kwa moja (live match), hapa mara nyingi team yenye ushawishi mkubwa ndio huvuna zaidi pasina kuangalia matokeo husika ya team hiyo, msimu uliopita mechi za liverpool zilionyeshwa live mara 29 huku man city mechi zao zikionyeshwa live mara 26 (city hatimaye walivuna paundi millioni 30 na liverpool walivuna paundi millioni 33, cha ajabu zaidi man utd walioshika nafasi ya sita walivuna paundi millioni 31, inamaana man utd amemzidi bingwa man city)
- ukipiga hesabu jumla ya mapato ya msimu unakuta liverpool amemzidi man city kwa tofauti ya paundi millioni 1 (152 millioni vs 151 millioni kwa mujibu wa msimu uliopita)
======================
kwa mujibu wa the guardian:
=========================================
- msimu wa 2017/2018 vilabu 20 vya uingereza vilijikusanyia mapato yanayofikia paundi billioni 4.8 na gharama za mishahara ilikuwa ni paundi billioni 2.4
- ukija la liga vilabu vya 42 (la liga 1 and 2) kwa pamoja vilijikusanyia mapato yanayofikia paundi billioni 4.48.
- ukija ujerumani vilabu 36 (bundesliga 1 and 2) vilijikusanyia mapato yanayofikia paundi billioni 4.42
kabla ya mabadiliko ya msimu wa 2014/ 2015 hali ilikuwa hivi nchini spain ni mwendo wa 38% au zaidi kwa wababe wakubwa
View attachment 1511817
View attachment 1511819
===========================
baada ya mabadiliko hali imekuwa hivi kwa misimu miwili iliopita hao wababe wawili mgawanyo umepungua kwa 23% ukilinganisha na mwanzoni
View attachment 1511821
- la liga team ya mwanzo msimu uliopita kimapato ambayo ni barcelona imekusanya euro millioni 166 na team ya mwisho imepata euro millioni 44
- uingereza team ya mwanzo msimu uliopita kimapato ambayo ni liverpool walikusanya euro €180m ($200m) na team ya mwisho ambayo ni Huddersfield walipata euro €114m ($127m)
Siku hizi wanaanzia mpira kwa kipa.tokea ligi irudi tumekuwa tukiruhusu magoli mepesi zaidi kufungwa
- mechi ya spurs beki walitegeana wakiongozwa na maguire halafu degea akashindwa kupunch mpira kwa nguvu
- mechi ya bournermouth maguire alipigwa chenga ya kifala ndani ya box, degea akashindwa kuziba nguzo ya goli.............goli la pili refa alisema bailly amenawa mpira ndani ya box
- mechi ya southampton walitufanyia higher pressing hatimaye pogba akapoteza mpira
- mechi ya jana hayasemeki (giroud na uzito wake anauwahi mpira wa krosi dhidi ya lindeloff, degea anajichanganya)
Kwanini?Bora ubaki na DeGea kuliko kumleta huyo Henderson.
Kwasababu DeGea ni Proven na takwimu zinambeba.Kwanini?
Its terrible aise hii kitu nimeiona kwenye last 3matchesSiku hizi wanaanzia mpira kwa kipa.
Wanacheza back passes, wakisogea kati wanapoteza mipira wanaanza upya.
Siku hizi ndo ujinga Ole kawafundisha.
Kwanini mkuu ?Bora ubaki na DeGea kuliko kumleta huyo Henderson.
Kaka wachache tu tunaoelewa haya, mimi ndio maana hata sikuwa na kimuhemuhe cha mechi na Chelsea kama ilivyokuwa kwa Soton.Kuna baadhi ya mashabiki wa Chelsea nimeona wanawaaminisha watu kuwa kombe la FA lina hela sana kuliko Man Utd kuingia UCL, kiukweli mashabiki wengi wa Chelsea huwa wana uelewa mdogo sana kuhusu football, ni kama wa Man City, Tottenham na mwakani Newcastle
Mwaka jana ma finalists, Watford na Man City walipata £1.8M kila mmoja.
Msimu wa mwaka jana Man City alipata £151M japo alikuwa mshindi na Liverpool alipata £152M. United alipata £143 na Arsenal alipata £142 japo Arsenal alimaliza ligi mbele ya United, hii inatokana TV deals. Hii ni kwenye ligi kuu.
Wakati ma finalists wa FA walilipwa £1.8M ma semi finalists walilipwa £ 0.9M
United asipokwenda UEFA Champions League msimu huu, atakatwa na Adidas £20M upward. Wakati huo huo United ataweza kupoteza potential deals kutokana na kutoingia UCL.
Kuna makala nilisoma United anaweza kupoteza up to £100M endapo hataingia UCL, kumbuka kila hatua UCL ina mpunga wake, tena mrefu.
Hapa sijaongelea kushindwa kusajili baadhi ya wachezaji nyota endapo United hataingia UCL.
Ni dhahiri shahiri OGS anatazama zaidi UCL qualifications kuliko FA, japo mashabiki tunataka vyote.
Achana na maisha ya kukariri.....Kwasababu DeGea ni Proven na takwimu zinambeba.