Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Toka January hawakuwa na matokeo consistent alipoumia Wilfred Ndidi.

Kuumia kwa James Madisson kumewaathiri sana toka restart hawapati matokeo consistently.

Dah so sad
Ila tukiwaambia Tottenham iliathiriwa sana na Kane, Son na Sissoko kuwa majeruhi mnasema timu ina wachezaji wengi.
 
Dstv yangu sioni hii mechi. Ni channel gani ya Dstv? Au hawaonyeshi FA hawa?
 
Tatizo kubwa sana la Timu za Rodgers ni Defense, anaweza kufunga goli nyingi lakini pia anafungwa nyingi pia.

Hata kipindi yuko Liverpool, tatizo kubwa lilikuwa kwenye defense, na ndiyo chanzo cha kukosa ubingwa msimu ule wa 2013/14.
Nafikiri squad depth inamwangusha sana
 
Yes, hili nalo pia ni tatizo.
Alipokuwa Liverpool injury za Suarez ilimuathiri sana.

Boko mbili za Gerald katika mechi mbili zilitosha kabisa kumnyima ubingwa.

Season iliyofuata alisajili wachezaji wengi sana ambao kwa vyovyote vile walihitaji muda mrefu kuwa pamoja na kuelewana worse enough wote walikuwa young players.
 
★Duuuh yani huyu Bro Eric Bailly sijui ana Gundu gani kila akicheza majeruhi ★
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…