Jamaa anadhani hao pundits wanajipeleka wenyewe, ni kwamba wanapewa kazi na wenye vituo sasa asidhani ni bahati mbaya kwa wenye vituo kutaka pundits kutoka united.Kama Man Utd ndio ina pundits wengi, unadhani ni kwanini, je ina miliki vituo vyote vya TV?
Unadhani kwanini Spurs haina pundits wengi kama United, kwanini Arsenal haina pundits wengi kama United au kwanini Liverpool na Man City hawana pundits wengi kama United?
Aliyekutangulia, kakutangulia tu, mbona haujiulizi kwanini United ina hela nyingi kuliko timu zenu, au kwanini ina makombe mengi kuliko timu zenu au kwanini ina mashabiki wengi kuliko timu zenu?
The greatest club in the world, the most influencial club in the world... Kama hutaki nenda kajinyoge
Sasa hivi mtakuja kulalamika oooh... Mbona United peke yao ndio wana Doctor [emoji23][emoji23]
United kuwa na pundits wengi ni kwa sababu ya mafanikio makubwa.Wewe ndio akili kabisa huna, sikusema pundits wote ni Man U, nilitarajia upinge hoja kwa kuonyesha ni timu gani nyingine inaizidi man u kwa kuwa na ex -players wengi ambao ni pundits! badala yake umekurukupuka na kuaongea ujinga.
Kweli mzee....Haki kama ile penalty ya Bruno na Aston villaAsichojua VAR inachofanya ni kutenda haki na kesho anafungwa shaba nne tena kwa viwili View attachment 1510160
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Hapo anaibeza VAR inapendelea UTD.Asichojua VAR inachofanya ni kutenda haki na kesho anafungwa shaba nne tena kwa viwili View attachment 1510160
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app