Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kumbe ya Leicester, mimi nilijua yenu mkuu


Hiyo trip ya Leicester ndio Vardy, Vardy, Vardy... What a trio
Mnajifariji tu hamna kitu hapo uzuri wake wewe mwenyewe wajua

Hivi hizo mbarara zenu si bora ya trio ya Leicester
 
Acha zako wewe, trio kali imewafikisha wapi?


Mbeleko mnayopewa ya mipenati ya burebure

Rashid Makame peke yake ana migoli 6 ya penati kati ya 8 alizozawadiwa
usihangaike nao mkuu, yan et the best wakat timu yao pre corona ilikua nafasi sijui ya 6 huko
 
Wewe ndio akili kabisa huna, sikusema pundits wote ni Man U, nilitarajia upinge hoja kwa kuonyesha ni timu gani nyingine inaizidi man u kwa kuwa na ex -players wengi ambao ni pundits! badala yake umekurukupuka na kuaongea ujinga.
Kwahiyo wale pundits wote wanaonekana kwenye TVs, ni ex-Players wa Man u.??
Una uelewa mdogo sana.
 
★Our business is our Business en none of your Business mkuu can you just shut the f****up and enjoy the game
You sound like the owner of the club! Not surprised you are such a miserable and nin com poop guy with fingers shoved in your smelly and filth cherry.
 
Kama Man Utd ndio ina pundits wengi, unadhani ni kwanini, je ina miliki vituo vyote vya TV?


Unadhani kwanini Spurs haina pundits wengi kama United, kwanini Arsenal haina pundits wengi kama United au kwanini Liverpool na Man City hawana pundits wengi kama United?

Aliyekutangulia, kakutangulia tu, mbona haujiulizi kwanini United ina hela nyingi kuliko timu zenu, au kwanini ina makombe mengi kuliko timu zenu au kwanini ina mashabiki wengi kuliko timu zenu?

The greatest club in the world, the most influencial club in the world... Kama hutaki nenda kajinyoge

Sasa hivi mtakuja kulalamika oooh... Mbona United peke yao ndio wana Doctor
Wewe ndio akili kabisa huna, sikusema pundits wote ni Man U, nilitarajia upinge hoja kwa kuonyesha ni timu gani nyingine inaizidi man u kwa kuwa na ex -players wengi ambao ni pundits! badala yake umekurukupuka na kuaongea ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…