Walioingia ni Fred,James,Scot na Brandon..so alikuwa ana Sub moja ya kufanya
ahsante sana, nilipitikiwaSub iliyobaki ni ya kipa kama sikosei, Maana walioingia walikuwa ni Brandon, James, Fred na Scoty... Ya 5 ndio ya kipa
mechi ya sheffield united aliwaingiza ighalo, scott, perreira,mata na james.....Sub iliyobaki ni ya kipa kama sikosei, Maana walioingia walikuwa ni Brandon, James, Fred na Scoty... Ya 5 ndio ya kipa
mechi ya sheffield united aliwaingiza ighalo, scott, perreira,mata na james.....
kwa kesi ya jana ni mwalimu mwenyewe alisita kufanya mabadiliko
View attachment 1506286
Sijui ulikuwa unaangalia mpira gani mkuu ,ila kama ni game ya jana stats hizo hapo mlizidiwa karibu kila kitu,hata hizo rafu unazosema wamecheza nyingi sijui umezitoa wapi,Sotton walicheza vizuri zaidi yetu kwenye umiliki wa mpira, lakini sisi tulicheza vizuri kwenye kutengeneza nafasi, kosa kubwa tulilofanya ni kushindwa kutumia nafasi tulizopata.
Pressing ya Sotton ilitufanya tuwe suffocated, lakini pia Mungu alikuwa upande wao, kwa namna walivyo press walicheza rafu nyingi sana ambazo wangemaliza mechi wakiwa pungufu kwa red card nisingeshangaa
Greenwood kutoonekana. Kitu walichofanya ni bullying kwake, kila alipo pata mpira alizungukwa na wachezaji wa Sotton 3 hadi 4, pia walifika sana miguuni make, Romeu ana bahati sana, alipaswa kupigwa red card kwa rafu mbaya aliyomchezea Greenwood.
OGS ana mapungufu yake, hapa ndipo huwa nina mu admire Jose katika kupata matokeo. Timu inaongoza goli 2 - 1, Greenwood amebanwa sana, kwani usimtoe yeye halafu ukamwingiza Tominay, ili Tominay au Fernandez mmoja acheze namba 7 lakini tunapokuwa hatuna mpira acheze katikati ambapo Sotton walitawala? Ukiwa na Fred, Tominay na Fernandez kwenye kulinda ushindi wako ni bora kuliko ukiwa na James, Fred na Tominay.
Sijui ulikuwa unaangalia mpira gani mkuu ,ila kama ni game ya jana stats hizo hapo mlizidiwa karibu kila kitu,hata hizo rafu unazosema wamecheza nyingi sijui umezitoa wapi,
Ni kukubali tu kuwa mlizidiwa na hao jamaaView attachment 1506325View attachment 1506327View attachment 1506329
Nimeweka takwimu zote za kipindi cha pili na za game nzima mzee,Uzuri nimeangalia mpira mimi mwenyewe. Soton hawakuwa hatari kwenye robo yetu, mfano mmoja mdogo tu, japo lile shuti la Martial kipindi cha pili lilipaa lakini ile ilikuwa ni nafasi ya hatari zaidi kuliko nafasi yoyote waliyoitengeneza Sotton kipindi cha pili.
Naona hapo kwenye takwimu Man United hawana shot on target second half, sijui ile ya Rashford aliyopiga halafu kipa akacheza na mguu ilikuwa ni nini? Hiyo ni nafasi ya pili kipindi cha pili ambayo ilikuwa ni ya hatari sana kuliko nafasi yoyote waliyoitengeneza Sotton second half
Kwa hiyo ninajua ninachoongea.
Mwisho kwanini tuongelee kipindi kimoja cha mchezo wakati, mchezo wa mpira wa miguu una vipindi 2
Ndio maana kwenye conclusion yangu nimesema Man Utd walikuwa hatari zaidi kwenye kutengeneza clear chances kuliko Sotton, Sotton walichofanikiwa ni kukaa na mpira muda mrefu kuliko United .
Kuwa na Possesion sio kuzidiwa kwenye kila idara..Arsenal juzi katawala kwa kukaa na mpira na hakuna alichofanya..Possession inayocreate chances za kufunga ndo possession,otherwise huo ni ujingaSijui ulikuwa unaangalia mpira gani mkuu ,ila kama ni game ya jana stats hizo hapo mlizidiwa karibu kila kitu,hata hizo rafu unazosema wamecheza nyingi sijui umezitoa wapi,
Ni kukubali tu kuwa mlizidiwa na hao jamaaView attachment 1506325View attachment 1506327View attachment 1506329
Nimeweka takwimu zote za kipindi cha pili na za game nzima mzee,
Angalia vizuri,ila yote ya yote mmedrop point mbili home, mna kibarua na palace ambaye amejeruhiwa mfululizo mpaka Villa kajiokotea ,msitegemee mteremko .
Sawa mkuu ila kama ni ujinga what's happen at the end of the game?na nani kaondoka na faida kati ya Soton na United?Kuwa na Possesion sio kuzidiwa kwenye kila idara..Arsenal juzi katawala kwa kukaa na mpira na hakuna alichofanya..Possession inayocreate chances za kufunga ndo possession,otherwise huo ni ujinga
Soton walikuwa na possession isiyokuwa na hatari..
Kama mpira ungekuwa uajudgewa hivyo basi hili kombe tumpe Chelsea aliyempiga Man city ambaye alimtembezea kichapo cha mbwa koko bingwa LiverpoolMkuu nimekwambia hizo takwimu kwa mimi niliyeangalia mpira hazinisumbui kwa sababu
Nimeona mechi kwa macho yangu, na Nimeona shot on goal, halafu takwimu inasema hamna shot on goal, kwa hapo tu imenifanya nisiendelee kuangalia aspects nyingine kwenye hizo takwimu ulizopost
Palace ataadhibiwa vizuri sana, kibonde Leicester kampiga 3-0, Liverpool kampiga 4-0, kibonde Chelsea kamfunga goli 3-2, Burnley Jirani yako kwenye top ten kampiga 1-0, Villa mshuka daraja kajipigia 2-0,sasa hapo anaanzaje anzaje kuidindia United.
By the way vipi, harakati zenu za kupambania 10 bora zinaendeleaje mkuu
Kama mpira ungekuwa uajudgewa hivyo basi hili kombe tumpe Chelsea aliyempiga Man city ambaye alimtembezea kichapo cha mbwa koko bingwa Liverpool
Tafsiri yake ni kwamba hata demu akiwa malaya wa kiwango cha lami lakini unaweza ukaenda kumtongoza na akakukatalia inategemea umeenda kwa gia ipi
Oooh kuhusu vita yangu ya top 10 bado napambana na nashukuru sana kwa zile points zako 4 ulizonichangia maana zimesaidia kunifikisha hapa nilipo.
Mkuu..nikwambie kitu..kwa mtu aliyeangalia mechi vs ambaye hakuangalia match jana akiangalia hizo stats ulizoweka wanakuwa na impression tofauti kbs..Sijui ulikuwa unaangalia mpira gani mkuu ,ila kama ni game ya jana stats hizo hapo mlizidiwa karibu kila kitu,hata hizo rafu unazosema wamecheza nyingi sijui umezitoa wapi,
Ni kukubali tu kuwa mlizidiwa na hao jamaaView attachment 1506325View attachment 1506327View attachment 1506329
Bahati ya mwenzio usiilalie mlango waziUmeonesha uungwana sana mkuu, kushukuru points nilizokuchangia, vinginevyo ungekuwa unanuna Aston Villa akishinda, ungekuwa unanuna Norwich akishinda na ungekuwa unapata hasira Bournamouth akishinda
Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi.