The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Mkuu narudia tena hii mechi ilikuwa nyepesi kwetu isipokuwa kocha ndiyo kautia ugumu mchezo wa jana, hayo yote uliyoyaandika ni kweli kwamba walikabia juu na walitupa presha lkn hayo yote kayataka kocha kwa kuwapa wachezaji presha zisizokuwa na msingi wowote, ww una pogba una Matic una Bruno zen unawaruhusu vp watoto wadogo wautawale mchezo? Kamshusha Matic chini akawa km beki 5 pogba kamshusha namba 6 icyopanda, mda wote pogba alikuwa nyuma havuki mstari wa kati hapo unategemea kumuona Greenwood? Mipira haifiki mbele utamuona vp Bruno, ofcz jana hata bissaka hakuwa vzr kivile mda mwingi alikuwa anakosea kosea lkn hyo yote alitaka kocha kwa approach yake ya kukaba, mbinu nzr ya kukaba ni kumiliki mpira ss yeye kawatia presha wachezaji mapema unategemea nini hapo? Alipaswa kuwaambia chezeni mpira bila kuangalia historia cz man u ni tm kubwa kuliko Soton, hapo lazima wachezaji wange relax mpira wangeucheza lkn yy kaanza kuwatia hofu matokeo yake wachezaji wakawa wanawaza top 3 kuliko mechi yenyewe.Ile mechi waliotukaba walikuwa Pogba na Mason Greenwood hawakuwa mchezoni pamoja na matukio wachache aliyoyafanya pogba.
Martial na Rashford walitupotezea nafasi tatu za kufunga magoli kwa uchoyo wao tu wa kutaka kufunga achilia mbali nafasi ile aliyokosa Rashford akacheza keeper.
Soton walitupigia pindi sana kabla ya kuja kwenye game walichokifanya ni kumtarget Pogba kama weaklink yetu kwa kumkaba na kumnyima space ya kufanya maamuzi.
Walimkaba Bruno asifanye maamuzi kwa haraka lakini wakablock passing lanes zote kwenda kwa Martial na Greenwood.
Kingine waliamua kukabia juu na kuwapress sana centerbacks wetu kiasi cha kutufanya tushindwe kufanya build up kuanzia chini badala yake tukajikuta tunapiga Highballs kwenda mbele hii iliwafanya midfield wetu wawe tortured kutafuta mipira ya juu.
Soton walituwin kwenye kucheza second balls na speed wao ndiyo walikuwa wanaamua matukio mengi uwanjani yaende vipi hii ilikuwa ni hatari sana kwetu hasa wanapofanya transition kuelekea golini kwetu.
Jana Maguire alikuwa kama Amateure mara nyingi kila alichokifanya kilipelekea second balls kwa Soton na kuendelea kutupa pressure kubwa sana wakati wote.
Nani alipaswa kutoka na dakika ya ngapi ? Mimi niliona Greenwood hakufanya kazi yake sawa sawa jana na alipaswa kutoka mapema kabla hata ya Pogba pengine ingesaidia kumfanya Ryan Betrand asionekane shujaa.
By the way Pongezi zangu zangu ziende law Ralph Hassenhuttl huenda aliangalia mara mbili mbili ile mechi yetu na Norwich na akajua madhaifu yetu yako wapi.
Mechi ya jana ilinirudisha nyuma mpaka kwenye finali ya UEFA champions League mwaka 2011 kati ya Bayern Munichen na Chelsea kazi alioufanya Romeu jana ilikuwa haitofautiani na ile aliyoifanya katika mechi ile ya finali.
NB
Nilisema toka mwanzo katika mechi tulizokuwa tumebakiza nilikuwa nawahofia Southampton kuliko timu nyingine yoyote kwa sababu ya historia yao dhidi yetu.
Mkuu mlipokua mnaongoza uli screenshot ile nafasi ya 3 au ulipuuzia ukijua mchezo umeisha?[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3]Hivi kwa akili zenu kabisa mnajiita mashetani wekundu halafu mnataka kuwapiga watakatifu, hamsomi biblia nyie? Hamumuogopi mungu siyo?
Ila game yenu dhidi ya Crystal Palace ndiye mwamuzi mkubwa, mkishinda hiyo nina uhakika top 4 mnaingia.
Maana mna game na Leicester ambao kwa sasa wanafungika.
Leicester ana game na Sheffield, Tottenham and then Man United.
Hatoboi.
Hivi kwa akili zenu kabisa mnajiita mashetani wekundu halafu mnataka kuwapiga watakatifu, hamsomi biblia nyie? Hamumuogopi mungu siyo?
Mkuu hiyo imeisha sahauni nafasi ya tatu labda mbadilishe mawazo muanze kufikiri nafasi ya 4Mmepewa nafasi nyingine, wenzetu wanaitwa second chance, ya ku screenshot msimamo, tumia nafasi hiyo vizuri mkuu
Ukichelewa mpaka ifike Julai 22 utakuwa umechelewa mazima
Ile mechi waliotukaba walikuwa Pogba na Mason Greenwood hawakuwa mchezoni pamoja na matukio wachache aliyoyafanya pogba.
Martial na Rashford walitupotezea nafasi tatu za kufunga magoli kwa uchoyo wao tu wa kutaka kufunga achilia mbali nafasi ile aliyokosa Rashford akacheza keeper.
Soton walitupigia pindi sana kabla ya kuja kwenye game walichokifanya ni kumtarget Pogba kama weaklink yetu kwa kumkaba na kumnyima space ya kufanya maamuzi.
Walimkaba Bruno asifanye maamuzi kwa haraka lakini wakablock passing lanes zote kwenda kwa Martial na Greenwood.
Kingine waliamua kukabia juu na kuwapress sana centerbacks wetu kiasi cha kutufanya tushindwe kufanya build up kuanzia chini badala yake tukajikuta tunapiga Highballs kwenda mbele hii iliwafanya midfield wetu wawe tortured kutafuta mipira ya juu.
Soton walituwin kwenye kucheza second balls na speed wao ndiyo walikuwa wanaamua matukio mengi uwanjani yaende vipi hii ilikuwa ni hatari sana kwetu hasa wanapofanya transition kuelekea golini kwetu.
Jana Maguire alikuwa kama Amateure mara nyingi kila alichokifanya kilipelekea second balls kwa Soton na kuendelea kutupa pressure kubwa sana wakati wote.
Nani alipaswa kutoka na dakika ya ngapi ? Mimi niliona Greenwood hakufanya kazi yake sawa sawa jana na alipaswa kutoka mapema kabla hata ya Pogba pengine ingesaidia kumfanya Ryan Betrand asionekane shujaa.
By the way Pongezi zangu zangu ziende law Ralph Hassenhuttl huenda aliangalia mara mbili mbili ile mechi yetu na Norwich na akajua madhaifu yetu yako wapi.
Mechi ya jana ilinirudisha nyuma mpaka kwenye finali ya UEFA champions League mwaka 2011 kati ya Bayern Munichen na Chelsea kazi alioufanya Romeu jana ilikuwa haitofautiani na ile aliyoifanya katika mechi ile ya finali.
NB
Nilisema toka mwanzo katika mechi tulizokuwa tumebakiza nilikuwa nawahofia Southampton kuliko timu nyingine yoyote kwa sababu ya historia yao dhidi yetu.
Ndio maana mnazidi kuangamia daily.We shabiki wa watakatifu, halafu unataka tumuogope mungu

Gari la mboleaEti gari limewaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umemua tu kutokuview status zangu.😀Itakua umeona vibaya,sijakublock hata
Kushindwa kuhandle pressure na poor management of the game from Ole ndo kilichofanya kupoteze zile point mbili
✓Matic kucheza kama centre half huku Pogba akicheza nyuma sana lilikuwa kosa
✓Angetoka Greenwood na kuingia kiungo (Scot au Fred) tungeendelea poa tu naamini..Pogba na Bruno wangeendelea atleast tungefanya kitu,japo kuwa walikuwa wamechoka kimtindo
✓Kwanini hakufanya Sub ya Brandon?..angeingia ata Bailly
AWB kuna namna ubora wako umecompromise..Anacheza vibaya sana
Martial hizi mechi mbili amepambana sana..That's what we want to see from him..Pure talent
Top four race bado haijaisha na tuendelea kushinda game zilizobaki
ile sheria ya wachezaji watano imeshaondolewa?Baada ya Brandon kuumia, hakuingia mtu sub ziliisha nadhani
Walioingia ni Fred,James,Scot na Brandon..so alikuwa ana Sub moja ya kufanyaBaada ya Brandon kuumia, hakuingia mtu sub ziliisha nadhani
ile sheria ya wachezaji watano imeshaondolewa?