Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Upuuzi.. Pogba tho alikua anazingua ila alikua ni msaada kuliko huyu Fred. Makosa makubwa sana aliyofanya kocha kumtoa
 
Usipotumia nafasi vizuri, that's what you get

Nafasi yetu top 3 bado ipo pale pale
 
Upuuzi.. Pogba tho alikua anazingua ila alikua ni msaada kuliko huyu Fred. Makosa makubwa sana aliyofanya kocha kumtoa
Ishu co pogba kutoka ila issue ni presha za kipumbavu za kocha, tng mpira unaanza kamshusha pogba chini unategemea nini, yn leo eti alikuwa anacheza kwa tahadhari ss unacheza kwa tahadhari na Southampton kweli?
 
Waimba taarabu na wavaa kanga hua wana maneno mengi sana lkn mume zao hua kimya
 
Mapungufu ya hii mechi;

1.TIMU nzima ilionekana imechoka sn tangu mwanzoni..inaonekana walipania sana mpk wakaharibu

2.MARTIAL anakosa 1V1 na golikipa mwanzoni kbs..dakk chache baadae tukafungwa..lait km angefunga basi mpira ungekuwa tofauti kbs..

3.POGBA hakuwa mentally stable baada ya kuzingua ..alipotea kbs mchezoni..it was okay kwa kocha kumtoa

5.Kikubwa uhai..kila mtu ashinde mechi zake then TIME WILL TELL nani anaingia TOP 4 na nani anenda EUROPA.

GGMU GGMU GGMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…