Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ndivyo tunavyoombea,
la muhimu zaidi kwa kipindi hiki OGS hapaswi kubadilisha kikosi bila ya sababu za msingi kama anavyofanya super frank 8.
Lakini na sisi hatupaswi kujipa matumaini makubwa sana maana fixture yetu bado siyo rafiki pia.

Wasi wasi wangu ni Southampton huwa wanatusurprise mara kwa mara kwa kuanza kutufunga kisha tunaanza kupambana kutafuta goli.

Crystal palace na wenyewe siyo wepesi sana tukumbuke game ya kwanza walitufunga OT tunapaswa kwenda na tahadhari kubwa sana na tusiwaruhusu washambulie hasa kwenye flank ya John Van aanholt.

Leceister ni easy prey wa Man united toka wapande Ligi hivyo sina wasi wasi nao hawa tutawafunga tu na hata wakijitahidi sana watatoa sare.

Nina wasi wasi na Soton au Crystal Palace.
 
Tukifungwa na hivyo vi timu Ni uzembe wetu... No excuse ni uzembe. Huwezi kujiita giant team unaiwazia Southampton au Crystal palace
 
*Mipango kazi ya united*

Zilibaki point tano tukamtuma kocha wetu wa zamani David Moyes akawalamba tatu Kama jezi Yao ilivyoandikwa
3
Zikabaki point 2 tukamtuma Wilfred zaha kijana wa nyumbani alielelewa katika mikono salama ya babu Alex Fergie akafanya kazi yake Ila kipa hakua vizur akaruhu goli tatu wakatoka na ushindi wa goli 3 kwa mbili
tukamuuliza zaha vp kijana wetu ? Akasema "Mimi nimefanya kazi mlionituma"nimemtungua kepa Alizabuliwaga shida kipa wetu ndio karuhusu wao kufunga "

Tukasema kumbe tatizo kipa?

tukamcheki kijana wetu Dean hunderson tukamwambia "Dean umekula Sana ugali wetu na kukomba masufuria ya ukoko hapa OT Sasa hakikisha wale wajinga hawakufungi hata goli moja
akasema sawa wakuu mi nitafanya kazi yangu hawatogusa nyavu na kazi iliyobaki nitamuachia "kipara"UCHEBE" atamaliza

Basi jezi Yao ikajibu maombi wakala 3 bila

*NB .namalizia ukitaka kuifunga Chelsea kirahisi wewe weka neno united kwenye jina la timu yako ,west ham united , sheffield united ,Newcastle united wanaiogopa*
 
kuna uvumi usio rasmi uliovumishwa na mpuuzi fulani unadai ya kwamba man city wameepukana na adhabu
ngoja tusubirie tangazo rasmi hapo kesho (13/7/2020)
Ni vizuri..hatupaswi kungangania Ban ya City ili tuende UEFA..tunapaswa kumaliza wa tatu.
 
Kama tumewafunga Sheffield,Brighton,Aston Villa,Bournemouth ambao karibia wote hawa first round tulishindwa kupata point tatu,sioni sana cha kutufanya tupoteze point kwenye gemu hizo mbili..

Mpira unadunda lakini kwa form yetu ya sasa kuwaogopa Soton na Crystal ni kuonyesha bado tupo kwenye hali yetu ileile ya september to december last year,kitu ambacho sio kweli
 
Upo sahihi kabisa

Inawezekana ametonywa hizo mechi Lingardinho atakipiga pale namba 10 huku Pereira akikabidhiwa jukumu pale namba 8,halafu mkoba amalizie wa kuitwa Phil Jones kisiki
 
Soton kuna yule jamaa James Ward-Prowse, ni wakumchunga sana na mipira iliyokufa.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Pogba anahitaji vipaji size yake kama vinne kuleta impact tunayoifikiria.
 
Kabisa yani au ukame alio nao filimimeno angekua nao martial daah wangetokwa na mapovu

Greenwood 9 goals >filimimeno 8 goals
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…