Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tominay hawezi fikia kiwango cha Matic, yule dogo ni mvurugaji wa opponent ila hana msaada kwe ye buildup yoyote. Tunahitaji DM anayeweza toa pass za uhakika tuwapo na mpira
 
Sancho is better but his price tag is highly overrated. I would not prefer to sign him at that much. Afu ni nyangema huyo dogo, atazingua

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Tena ni bishoo kweli kweli, japo ana kipaji ila sina imani nae, akija atakua flop tu, ana swagg kama za yule dogo Depay, kama tutakosa winger mzuri ni bora tumchukue Willium wa Chelsea kwa bure tumpe 2years wakat tunatafuta long term replacament
All in all nina imani na sajiri za OGS, jamaa uwa hakurupiki kufanya maamuzi
 
Dogo hatufai. Tusicheze mziki wa media za Uingereza. Willian akiwa available, atatusaidia na tutapata chance ya kum-groom to maturity kijana G'wood.

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Dogo hatufai. Tusicheze mziki wa media za Uingereza. Willian akiwa available, atatusaidia na tutapata chance ya kum-groom to maturity kijana G'wood.

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Kimsingi huyo dogo naona ni potential ukizingatia kwasasa dunia ina winga wachache sana wanaocheza pure #7.

Depay kilichomponza ni life la uingereza na ubishoo mwingi nje ya uwanja.

Sioni mbadala wa sasa kwa huyo dogo aise.
 
Anyway so mbaya, wenzetu wanakuwa na data na maamuzi yao yapo guided na vivid facts kuliko sisi.

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
James Cooper anasema Sancho na Grealish ni wachezaji muhimu sana Man Utd inapaswa kuwasajiri japo timu ipo ktk form
Kazi ipo
 
Leo naimani tutapata gap la kumsogelea mtu kama sio kumpita au kumfikia. Naamini hivyo
 
Munaanza kumuwangia na Willian tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…