Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu nakukumbusha tu Rashford ana goli 20. Usijisahaulishe.
 
Sawa tuseme tayari muko nafasi ya tatu na Europa mumebeba hongereni..

Hii ndo man u bana..
 
Pogba ana 0 goal(s) msimu huu?

Mkuu ni kweli jamaa ajafunga hata goli moja kwenye epl
.

Mashabiki wanampa tu sifa. Nimeangalia list yote ya wafungaji epl jina lake halipo
,ina maana ajafunga hata goli moja.
 
Sawa. 😂
 
Mkuu ni kweli jamaa ajafunga hata goli moja kwenye epl
.

Mashabiki wanampa tu sifa. Nimeangalia list yote ya wafungaji epl jina lake halipo
,ina maana ajafunga hata goli moja.
Injury toka mwezi september ulitegemea apate magoli akiwa kitandani ?

Nilijua Chelsea pekee yenye mashabiki wajinga kumbe hata Liverpool wapo ?
 
Injury toka mwezi september ulitegemea apate magoli akiwa kitandani ?

Nilijua Chelsea pekee yenye mashabiki wajinga kumbe hata Liverpool wapo ?

Kacheza mechi 11 kashindwa kufunga hata goli moja,unataka acheze mechi ngapi ndio afunge
.
 
Najua reason behind

Vilabu vyote duniani vinafanya hivyo endapo kiwango cha mchezaji kinaruhusu

Na kwa Matic kiwango kinaruhusu

Formula huwa wanaongeza mwaka mmoja mmoja, mchezaji akibisha sana anapewa 2 years

Lakini sio kwa miaka 3, hapa tunaongelea mchezaji wa miaka 32, ataondoka na 35

Najua kwa kiwango cha sasa cha Matic, ni ngumu sana kwa baadhi ya wadau kunielewa hapa
Ole kasema amem-keep kwa sbb ya uzoefu na uongozi kwa vijana. Ikumbukwe team haina wakongwe wengi wa kuongoza hawa madogo. BTW, kucheza itategemea na kiwango .....Binafs hii ni habari njema
 
Habari njema kwangu .. nikimuona matic huwa napata nafsi ya moyo tuchezapo na timu yoyote.
 
Matic is 31yrs Mkuu.....Carrick alistaafu na 36 na alikuwa kiungo mkabaji tegemezi mpaka kustaafu kwake.....Bila shaka unakumbuka scholes na Giggs walistaafu na miaka mingapi!
 
Mkuu he is going to be 32 at August 1, sijajua hapo tunabishania nini

After 30 years, hata huyo Carrick alikuwa anapigwa mwaka mmoja mmoja ikizidi sana 2

Hata Matic kama kiwango kinaruhusu, apewe hadi akiwa na 40 (kama Gigs) lakini kwa mwaka mwaka hiyo ndio point yangu

Halafu sio kwa kuwa Carrick alicheza kwa kiwango cha juu hadi akiwa na 36 basi kila mchezaji inawezekana (hata Carrick mwaka wa mwisho hakucheza kiivyo)
Matic is 31yrs Mkuu.....Carrick alistaafu na 36 na alikuwa kiungo mkabaji tegemezi mpaka kustaafu kwake.....Bila shaka unakumbuka scholes na Giggs walistaafu na miaka mingapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…