Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nimehuzunika sana kum-rate Rashford kwenye kundi moja na Martal(mvivu).
 
Mkuu unajua sana, sio kama jamaa yule anaitwa #Darmian# anatulisha pumba.
 
Sasa Man City hujui kama alicheza na kibonde Spurs, au unazuga huelewi
Acha kutulisha pumba wewe, man city alivyoshinda jana ana cheza mpira kila siku? Kubalini timu lenu ni takataka na Europa itawausu tu akina namuna!

CFC
 
Arsenal hii hii iliyopigwa 6 - 0 na Man City kwa mechi mbili za hivi karibuni

Au unaongelea Arsenane iliyopigwa 6 kwa shoot on target 1 katika mechi za hivi karibuni walivyocheza na City

Sory,kumbe ulikuwa unaongelea Aseno
Sisi Aseno tumebakiza pointi sita tu tumshushe nyumbu
 
Arsenal hii hii iliyopigwa 6 - 0 na Man City kwa mechi mbili za hivi karibuni

Au unaongelea Arsenane iliyopigwa 6 kwa shoot on target 1 katika mechi za hivi karibuni walivyocheza na City

Sory,kumbe ulikuwa unaongelea Aseno
Si ilikuchomeka mwiba lakn
 
Mourinho alifanya homework yake vizuri sana dhidi ya Daniel James, Martial na Rashford.
Mourinho akili nyingi sana, alisema Man Utd ni hatari sana kwenye counter attack, hivyo aliwaachia wamiliki mpira hivyo wajenge mashambulizi kuanzia nyuma. Kwa hili alijua atawamudu vizuri na alifanikiwa. Aliwakosa Moura na Dele Alli, wangekuwepo pengine hali ingekuwa tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…