Kiukweli binafsi naona kama united inamhitaji pogba kibiashara zaidi ya ukamilifu wake uwanjani. Kwa mifumo ya sasa ambapo kila mchezaji anashiriki kwenye kushambulia na kuzuia (hata kudaka) inakuwaje unamtaka pogba anayekimbia kama ana jog halafu unampangia majukumu maalum peke yake? Hii mbinu aliitumia mourinho na akina ozil pale Madrid, Schneider pale inter lakini siku hizi haimsaidii tena.sidhani kama ameshafikia level ya kulinganishwa na david degea hata kama tutaamua kutumia kigezo cha kuangalia performance dhaifu ya david kwa miaka hii miwili (2019 and 2020).
namhurumia sana dean henderson pamoja na familia nzima ya kiengereza ilio nyuma yake (waingereza wanatamani kikosi chao kizima kijengwe na timu kubwa na si everton na wengineo), dean ana ndoto ya kuona siku moja anasimama kwenye milango ya old trafford kabla ya world cup ila sidhani kama itawezekana kwa sasa.
asikwambie mtu unahitaji kuwa na roho mbaya kama bolo yeong, roho ya kijinga kama arturito pindi unapochukua uamuzi wa kumfanyia mabadiliko ya kudumu goalkeeper wa kikosi cha kwanza.
kabla ya kumuangalia kwanza dean unapaswa ugeuze jicho lako kwa david, je ataelekea wapi kwa sasa pindi utakapomfanyia mabadiliko?
PSG, Real Madrid, Juventus, Newcastle?
david ana mkataba wa takribani miaka 3 na kwa mshahara anaolipwa haitokuwa rahisi kumweka benchi kwa miaka mitatu.
wafanyiwe match rotation?
hmmmm! ukitaka kujua madhara yake basi muulize manuel neur pale bayern munich, huyo mzee ameweka mkwala mzito baada ya bayern kumsajili goal keeper wa schalke 04.
============
halafu kuna balaa hili:
fred + scott + matic
corona imemuokoa paul pogba
Gharama gani wakati huyo ni mchezaji wetu?Dean Henderson zaidi ya De gea aisee hata gharama naona ndogo ukilinganisha na kazi hiyo
Ole atakuwa na wakati mgumu sasa wa kuamua nani waanze kwenye midfield.sidhani kama ameshafikia level ya kulinganishwa na david degea hata kama tutaamua kutumia kigezo cha kuangalia performance dhaifu ya david kwa miaka hii miwili (2019 and 2020).
namhurumia sana dean henderson pamoja na familia nzima ya kiengereza ilio nyuma yake (waingereza wanatamani kikosi chao kizima kijengwe na timu kubwa na si everton na wengineo), dean ana ndoto ya kuona siku moja anasimama kwenye milango ya old trafford kabla ya world cup ila sidhani kama itawezekana kwa sasa.
asikwambie mtu unahitaji kuwa na roho mbaya kama bolo yeong, roho ya kijinga kama arturito pindi unapochukua uamuzi wa kumfanyia mabadiliko ya kudumu goalkeeper wa kikosi cha kwanza.
kabla ya kumuangalia kwanza dean unapaswa ugeuze jicho lako kwa david, je ataelekea wapi kwa sasa pindi utakapomfanyia mabadiliko?
PSG, Real Madrid, Juventus, Newcastle?
david ana mkataba wa takribani miaka 3 na kwa mshahara anaolipwa haitokuwa rahisi kumweka benchi kwa miaka mitatu.
wafanyiwe match rotation?
hmmmm! ukitaka kujua madhara yake basi muulize manuel neur pale bayern munich, huyo mzee ameweka mkwala mzito baada ya bayern kumsajili goal keeper wa schalke 04.
============
halafu kuna balaa hili:
fred + scott + matic
corona imemuokoa paul pogba
Hii essay.. unaweza kidhani manure mnaongoza ligisidhani kama ameshafikia level ya kulinganishwa na david degea hata kama tutaamua kutumia kigezo cha kuangalia performance dhaifu ya david kwa miaka hii miwili (2019 and 2020).
namhurumia sana dean henderson pamoja na familia nzima ya kiengereza ilio nyuma yake (waingereza wanatamani kikosi chao kizima kijengwe na timu kubwa na si everton na wengineo), dean ana ndoto ya kuona siku moja anasimama kwenye milango ya old trafford kabla ya world cup ila sidhani kama itawezekana kwa sasa.
asikwambie mtu unahitaji kuwa na roho mbaya kama bolo yeong, roho ya kijinga kama arturito pindi unapochukua uamuzi wa kumfanyia mabadiliko ya kudumu goalkeeper wa kikosi cha kwanza.
kabla ya kumuangalia kwanza dean unapaswa ugeuze jicho lako kwa david, je ataelekea wapi kwa sasa pindi utakapomfanyia mabadiliko?
PSG, Real Madrid, Juventus, Newcastle?
david ana mkataba wa takribani miaka 3 na kwa mshahara anaolipwa haitokuwa rahisi kumweka benchi kwa miaka mitatu.
wafanyiwe match rotation?
hmmmm! ukitaka kujua madhara yake basi muulize manuel neur pale bayern munich, huyo mzee ameweka mkwala mzito baada ya bayern kumsajili goal keeper wa schalke 04.
============
halafu kuna balaa hili:
fred + scott + matic
corona imemuokoa paul pogba
Sio kweli..msimu mmoja hautoshi kumlinganisha Huyo dogo na deGea..he needs time to matureDean Henderson zaidi ya De gea aisee hata gharama naona ndogo ukilinganisha na kazi hiyo
Correction; match zilichezwa kwa dkk 60 tu kila moja.Tumecheza mechi mbili zote dk 90, mechi ya kwanza tumepigwa 2-1 na mechi ya pili tumeshinda 3-1
mkuu ulitaka tufanyeje....Hii essay.. unaweza kidhani manure mnaongoza ligi
Kwa formation hiyo ni bora Dalot acheze right wing kuongezea nguvu midfieldHiki kikosi kinatishaaaaaaaaaaView attachment 1475621
Pogba licha ya kucheza entertaining footbal, ana pass za uhakika kuelekea langoni.Kiukweli binafsi naona kama united inamhitaji pogba kibiashara zaidi ya ukamilifu wake uwanjani. Kwa mifumo ya sasa ambapo kila mchezaji anashiriki kwenye kushambulia na kuzuia (hata kudaka) inakuwaje unamtaka pogba anayekimbia kama ana jog halafu unampangia majukumu maalum peke yake? Hii mbinu aliitumia mourinho na akina ozil pale Madrid, Schneider pale inter lakini siku hizi haimsaidii tena.