Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hahahaha jamaa wanazinguana hawa,kwenye ile image wanakabana basi bruno akapost anamwambia" Matic please keep social distance"
Nilichojifunza Bruno ni mcheshi,
Kuna kipindi kabla ligi haija simamishwa Martial alikuwa anamwambia hata score goli kwa assist yake(bruno).

Mfano lile goli la Martial mechi ya 3-0 vs Watford.
Jamaa inaonekana atakuwa na impact dressing room, ukiachana na uwanjani.
 
Hakuna kitu hapo mkuu, agents wengi na vyombo vya habari vingi wanaitumia man u kupata pesa, umaarufu, mauzo na kuwapigia chapuo wachezaji wao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…