BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Nausubiri mchapo wa MANU VS Real Madrid kwa hamu kubwa. Natumai referee hataharibu mechi hiyo kwa kufanya maamuzi yasiyohusu. Inawezekana ukawa mchezo ambao soka litakaloonyeshwa litakuwa la hali ya juu na kukumbukwa kwa miaka mingi ijayo na mshindi wa mechi hiyo si ajabu ndiye akawa bingwa wa UEFA.. BelindaJacob & Company msikose kuzuka jamvini katika kuifuatilia mechi hiyo kwa karibu.
Last edited by a moderator: