Hakikisha unatililia ile track suit yako ya MANU ili kipigo kinoge zaidi 🙂 🙂 na uweke wine kabisa pembeni itakayokusaidia katika kuhakikisha unapata usingizi :majani7:badala ya kukesha usiku kucha huku ukihesabu nyota na kukumbuka kipigo.
Go Go Go Man Utd
Hapa nimepiga jumper ya man u tayari, ntacheki mechi na friends halafu wengi ni real..mbona jazi ipo!!
Napotea kidogo jamvini mpaka mechi itakapoanza, ha ha ha...later kidogo BAK sikimbii lakini!!
Glory Glory Man Utd .......
Kila la heri