Sijui umetumia kigezo gani kuchagua mfumo wa 4 3 3Itaisha tu soon tutarudi kulichambua chama, ila km man u itamsajili Kane na Grealish cjui itakuwaje, ningependa tumpate na Sancho ila czani km itawezekana mana man u kwa ubahili pia haijambo.
1. De gea
2. Bissaka
3. Shaw (hapa tungepata no.3 ya kuaminika ingekuwa poa sn cz shaw pancha nyng, Williams mzr ila bdo mdogo)
4. Bailly ( namwamin kuliko linderloof)
5. Maguire
6. Fred
7. Grealish
8. Uncle Bruno
9. Kane
10. Labile
11. Rashidi Makame Rashford
Benchi; Martial, Matic, Mctommy, Greenwood (mcm ujao nadhani utakuwa wake), James, Williams, Linderloof, Ighalo.
Mfumo mzr ni 4-3-3 cz wachezaji hapo asilimia kubwa wanapenda kukaa na mpira na kushambulia sn.
Soma vzr mkuu nmetaja na kigezo
Huyu dogo mcm ujao atashangaza watu sn ni miongoni mwa wachezaji wachache wa kingereza wenye uwezo wa kweli
Anatumia mguu wa kushoto ila penalti anapiga na mguu wa kulia [emoji3][emoji3][emoji3]
Anatumia miguu yoteAnatumia mguu wa kushoto ila penalti anapiga na mguu wa kulia [emoji3][emoji3][emoji3]
Itaisha tu soon tutarudi kulichambua chama, ila km man u itamsajili Kane na Grealish cjui itakuwaje, ningependa tumpate na Sancho ila czani km itawezekana mana man u kwa ubahili pia haijambo.
1. De gea
2. Bissaka
3. Shaw (hapa tungepata no.3 ya kuaminika ingekuwa poa sn cz shaw pancha nyng, Williams mzr ila bdo mdogo)
4. Bailly ( namwamin kuliko linderloof)
5. Maguire
6. Fred
7. Grealish
8. Uncle Bruno
9. Kane
10. Labile
11. Rashidi Makame Rashford
Benchi; Martial, Matic, Mctommy, Greenwood (mcm ujao nadhani utakuwa wake), James, Williams, Linderloof, Ighalo.
Mfumo mzr ni 4-3-3 cz wachezaji hapo asilimia kubwa wanapenda kukaa na mpira na kushambulia sn.
Nshai save mkuuView attachment 1423853
Hii picha huwa naipenda sana hasa madogo wanavyompigia makofi rashford
Huyu dogo mcm ujao atashangaza watu sn ni miongoni mwa wachezaji wachache wa kingereza wenye uwezo wa kweli
Kama kawaida yako siku unapoamua kuchambua soka mkuu.
- nafikiri England walianza kubarikiwa kuwa na kundi bora la wachezaji kutoka mwaka 1996, 98 (kizazi cha shearer, gaza, robbie fowler, mcmanaman, david platt, jamie redknapp,, les ferdinand, sherringham, tony adams, martin keown, campbell, paul ince) hadi kizazi kilichowafunga germany magoli matano. unaposhangaa kikosi hicho kushindwa kuchukua ubingwa pia unapaswa ushangazwe zaidi na kizazi cha alan shearer nacho kushindwa kupata mafanikio makubwa.
- factors zipo nyingi sana zilizopelekea timu yao kushindwa kufanya vizuri kama vile maamuzi ya kijinga ya wachezaji (kadi nyekundu ya david beckham, kadi nyekundu ya wayne rooney kwenye michuano ya Euro)
- maamuzi ya kijinga yaliofanywa na walimu kwa nyakati tofauti, kwa mfano sven gorran eriksson alishindwa kutengeneza uwiano mzuri wa kikosi kwa sababu ya kulazimisha paul scholes, frank lampard na steven gerrard wacheze pamoja.
- cha kushangaza walikuwepo wachezaji wengine kama vile michael carrick na owen hargreaves kwa nyakati tofauti ambao wote kwa pamoja wana uwezo mkubwa wa kucheza eneo la midfield mkabaji na kufanya hivyo wangelifanikiwa kutengeneza uwiano mzuri sana wa timu. (England walihitaji mfumo wa 4-2-3-1 kuliko 4-3-3 kwa sababu hawakuwa na winga mwenye sifa ya Iniesta au ryan giggs). Media nazo zilikuwa na nguvu ya kuingilia uamuzi wa mwalimu
- bahati nayo pia haikuwa upande wao kiupande fulani (England wamekuwa na rekodi mbovu kutolewa kwenye hatua ya penalty dhidi ya wapinzani wao.
- pia england timu yao kwa kiasi kikubwa sana ilikosa balance kati ya kikosi cha kwanza na wachezaji wa hakiba, ukiachana na hao wachezaji wa kikosi cha kwanza unagundua waingereza walikuwa na kundi la wachezaji wa kawaida sana waliopelekea kuwa na ufinyu wa kikosi bora (lack of depth) kama vile sinclair, danny millls, emile heskey, wright phillips, nicky butt, phil neville, darius vassell n.k
- sababu nyengine ni kuzidiwa ubora na wapinzani wao linapokuja swala la vipaji na uwezo binafsi wa wachezaji (rejea kikosi cha brazili kilichojengwa na ronaldo, rivaldo, gaucho, lucio, carlos, cafu, dida, kleberson). Pia rejea vikosi cha portugal iliojengwa na luis figo, manuel rui costa, deco souza, ronaldo, nuno gomez, postiga, tiago, n.k Ufaransa ya zidane, henry, wiltord, vieira, desaily, thuram, lizarazu, sagnol, makelele, pires n.k
- waingereza ni dhaifu sana nje ya ulimwengu wa mpira wa kutumia nguvu, lack of creativity and decision making kwa wachezaji wao wengi.
- Kuna interview fulani sven gorran eriksen anasema ya kwamba wachezaji walikuwa hawavutiwi na mfumo mwengine zaidi ya 4-4-2 usiokuwa diamond, na ukiangalia kuna ukweli fulani kwa sababu timu nyingi za uingereza zilikuwa zinapendelea mfumo huo wa 4-4-2 kabla ya ujio wa jose mourinho alipokuja kuingiza mfumo wa 4-3-3 (makelele roles)
Mh ckumbuki mkuuHivi kuna mech yoyote kubwa alianza? Yaani top 5 zile timu
Anasemaje mkuuPogba Ana tatizo gn mbn mm simwelewi??
Naskia anataka kuongeza mkataba Mara anataka kwenda Madrid..Anasemaje mkuu
Uyo keshafunikwa na Bruno so thamani yake imeshuka pale utd japo ana uwezo mkubwa.Naskia anataka kuongeza mkataba Mara anataka kwenda Madrid..
Mbona an uwezo mkubwa afu anatufanyia haya???
He can fu.cking leave if he want so..hakuna haja ya kubembelezana..Naskia anataka kuongeza mkataba Mara anataka kwenda Madrid..
Mbona an uwezo mkubwa afu anatufanyia haya???
Pogba ni baloteli aliyechangamka akiendekeza uswahili atakula benchi sana tu hapo hapo utd.Uyo keshafunikwa na Bruno so thamani yake imeshuka pale utd japo ana uwezo mkubwa.
Ongezea hii, ni baloteli mwenye control [emoji3][emoji3][emoji3]Pogba ni baloteli aliyechangamka akiendekeza uswahili atakula benchi sana tu hapo hapo utd.
Sent using Jamii Forums mobile app