Johnny Sins
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 2,536
- 3,885
Liva wamelaaniwa kitambo pitia uzi huuIli ligi ife na liva aanze upya kufukuzia ubingwa wake wallah united hatutamuacha salama
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]huyu jamaa ndumilakuwiliMkuu Napenda kutoa wazo tukakupime akili samahani lakini. Me naona hata akili yako inatu DNA twa COVID 19,UBISHI,UJUAJI UROPOKAJI na KIGEUGEU kulingana na hizo hoja zako [emoji116][emoji116][emoji116] mpaka sasa najitahidi kuamini ni wewe ninaekujua lakini nashindwa.
Haya ndo maswala nasemaga unachangia kitu kama "HUNA KICHWA JUU YA MABEGA".
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda useme Lampard huafungwi mara 4
sijazipata mkuu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]huyu jamaa ndumilakuwili
Ha ha ha sisi inatuuma zaidi Liverpool akichukua ubingwa kuliko akina Edward Woodward. Ila N way sipendi sana Liverpool kuchukua ubingwa Wa EPL basi tu!
Nilisikia walionunua television rights..watazipiga..fain clubs kama ligi haitoisha...labda...wanajaribu kuepuka
Kuwa mupole man..[emoji3][emoji3]Ukiingia huku uwe unaandika vema mana humu wote wako timamu. "Aina noma" ndio nini!?[emoji2]
Ha ha ha ha
FA wangese kweliHa ha ha sisi inatuuma zaidi Liverpool akichukua ubingwa kuliko akina Edward Woodward. Ila N way sipendi sana Liverpool kuchukua ubingwa Wa EPL basi tu!
[emoji2]
Duuu!Wachezaji nane wa kikosi cha kwanza cha Westham wameambukizwa corona wapo kalantin
Habari mbaya hii kwa epl
Sent using Jamii Forums mobile app