Scot anafaa game za fujofujo na wakamivu km WolvesAlipocheza brandon william ndipo atacheza kiungo mwingine pogba na bruno kukaa bench ni ngumu au kuanzia bench matic na fred combination nzur sana scott ataanzia bench
Mkuu na mm nitakula pilau aisee we need to separate with this man with his kindergarten mouthUpo sawa
Kwangu mimi United and Paul needs to separate for every part best interests
Kwangu mimi pande hizo zilifikia point of no return pale PP aliposema anahitaji new challenge summer iliyopita, pale Raiola aliposema hata Pele na Maradona wange flop wakichezea United, pale kaka zake zaidi ya mara moja walipoweka wazi kuwa PP ataondoka United.
Kuna uoumbavu mwingi sana uliofanywa na Pogba's camp katika kui undermine my Manchester United, that should never be tolerated.
Siku akiondoka nitakula pilau, walahi hata kama hiyo ratiba haikuwepo
Sent using Jamii Forums mobile app
So ikitokea kuna watu wa Pogba wanazungumza kauli chafu juu ya club, na Pogba kakaa kimya akiwa busy anatekeleza yanayomuhusu tu, U suggest better auzwe...!! [if I capture your point well]
Kuna watu walikuwa wanamtukana Ole humu, wengine wakawa wanamponda Bruno kwamba tulitakiwa tumsajili Felix na Sio bruno. Sasa hivi kimya.Tulivomkosa Joao felix wengi mlimind sana lakini mi namuona dogo bado tena ni kama kashuka sahv
Sent using Jamii Forums mobile app
sio watu bali ni wakala wake ambaye anamuakilisha yeye..usipindishe mamboSo ikitokea kuna watu wa Pogba wanazungumza kauli chafu juu ya club, na Pogba kakaa kimya akiwa busy anatekeleza yanayomuhusu tu, U suggest better auzwe...!! [if I capture your point well]
na atletico nahisi alikuwa chaguo zuriTulivomkosa Joao felix wengi mlimind sana lakini mi namuona dogo bado tena ni kama kashuka sahv
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unamng'ang'ania kirusi wa nini? Wa kazi gani yule mpaka rangi nywele? Toka tumsajiri katusaidia nini cha maana zaidi ya kutuvuruga tu akisaidiana na wakala wake raiola + kaka zake, hivi unafaham now hata real madrid hawamuitaji kwasababu ya unprofessional behaviour? Wewe unafikiri Zizu anataka uchafu? Perez alishawai ulizwa kuhusu pogba akajibu pogba ndio nani mbona hamtambui?So ikitokea kuna watu wa Pogba wanazungumza kauli chafu juu ya club, na Pogba kakaa kimya akiwa busy anatekeleza yanayomuhusu tu, U suggest better auzwe...!! [if I capture your point well]
Mmmmh... Tutapata mteja kweli ?
Tulivomkosa Joao felix wengi mlimind sana lakini mi namuona dogo bado tena ni kama kashuka sahv
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mtoto ana talent kubwa lakini bado, niliwahi kusema humu, tena kumleta timu kama United yenye pressure ndio angeharibika kabisa
Niliwahi kusema hata Greenwood anamzidi magoli
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu walikuwa wanamtukana Ole humu, wengine wakawa wanamponda Bruno kwamba tulitakiwa tumsajili Felix na Sio bruno. Sasa hivi kimya.