Pogba haamini kinachotokea am afraid tutamuuza cheap but acha aende tu.usishangae akaenda liverpool!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kirahisi hivyo, wameshawajulia sasa hivi
Next season mjipange
Msimu huu tumenyoosha mikono juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kufukuzwa sio leo wala kesho. Possibly anaweza kuzeekea Anfield.
Hata kufukuzwa sio leo wala kesho. Possibly anaweza kuzeekea Anfield.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu hii kitu nimeikuta sehemu, eti ni kweli Pogba never been nominated for a player of the month award?View attachment 1382947
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona Corona Corona Virus
Anakaribia kutuharibia shughuli
Baada ya mechi kuanza kuchezwa bila mashabiki huko Italia, sasa mechi zimeahirishwa mpaka April
Mechi ya UCL kati ya Barca VS Napoli itachezwa bila mashabiki
Dalilizinaonesha ligi nyingi zitaahirishwa hiki kirusi kikiendelea, nimesikia mmiliki wa Nottingham forest amejitangaza kuwa ana kirusi na amejitenga na jamii (sijui yupo Uingereza? )
God forbid hiki kirusi kisiendelee kutamba, watu wanaendelea kufa na ligi za soka/michezo zinaweza kusimama mashabiki tukakosa utamu wa burudani ya soka
Ligi inaweza kuwa canceled Liverpool wasichukue ubingwa, Man Utd tusiingie top 4
Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond haitumii mawinga
Pogba hatacheza tena Man u anasubiri dili la uhamisho likamilike. Man u ni timu yenye umama ndani yake
Sent using Cash Money Wings
Dah! Eti top 4,sio contenders kabisa?Huyu Bruno huyu dah! Naona kabisa msimu ujao top 4 mnaipata kwa timu hii.
Dah! Eti top 4,sio contenders kabisa?
Ukisema timu kubwa unaangalia vigezo gani bro
Pogba hatacheza tena Man u anasubiri dili la uhamisho likamilike. Man u ni timu yenye umama ndani yake
Sent using Cash Money Wings