mozila firefox
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 898
- 1,764
Pogba auzwe tu, pesa yake ilete wachezaji wengine wazuri, yeye na wakala wake wasumbufu sana, akiendelea kubaki ataanza kudai mshahara mkubwa zaidi anayolipwa sasa £290000mil, atavuruga dressing room huyu kirusi, kina bruno nao watataka walipwe kama yeye (Bruno salary yake haifiki hata £100000) ila cheki anacho offer uwanjaniNawaza tu ni jinsi gani tuta-lineup Pogba atakavyorudi na kuwa na nia ya kubaki na sisi
Man UTD 4-0 Chelsea
Unauzungumziaje ule ushindi?
Wasn't it comfortable?
Anyway... hata hivyo kwa tafsiri ya haraka haraka unaposema timu kubwa England, kichwani majina yafuatayo yanakuja kichwani Man United, Man City, Liverpool, Arsenal, Chelsea... muda mwingine hata Spurs..
Na hii haijalishi timu ipo kwenye form gani wakati huo... Maana siku za nyuma specifically (2015-2016) Leicester walikuwa kwenye form nzuri kuliko sisi timu kubwa.. lakini haikumfanya awe timu kubwa.
Bila shaka, you meant Chelsea hakuwa kwenye form right? although, still huu msimu bado sio mzuri kwake and she is still considered as katimu kakubwa
Pogba likitulia na likajituma, United itaimarika. Pogba anatokea kushoto, Bruno 10 alafu kati Fred na Matic
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni mtihani mwingine kwa Solskjaer..itakuwa ngumu sana yeye kumweka benchi BrunoIli Bruno au Pogba wafanye vizuri ni lazima acheze free role.
Sasa kuwachezesha pamoja itakuwa risk sana defensively.
Nachokiona mm Pogba akipona huenda DMs mmojawapo atakuwa sacrificed au Bruno atakuwa forced kucheza right wing au Bruno Fernandez atakuwa rested.
Ngoja tuone Solkjaer atakuja na plan gani ya kuaccomodate wote wawili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili Bruno au Pogba wafanye vizuri ni lazima acheze free role.
Sasa kuwachezesha pamoja itakuwa risk sana defensively.
Nachokiona mm Pogba akipona huenda DMs mmojawapo atakuwa sacrificed au Bruno atakuwa forced kucheza right wing au Bruno Fernandez atakuwa rested.
Ngoja tuone Solkjaer atakuja na plan gani ya kuaccomodate wote wawili.
Sent using Jamii Forums mobile app
This will never happen... labda aumie au apumzishwe kwa sababu ya umuhimu mdogo wa mechi husika kwa wakati husika
Yaani amuweke bench mchezaji mwenye passion kama bruno kisa kirusiHuu ni mtihani mwingine kwa Solskjaer..itakuwa ngumu sana yeye kumweka benchi Bruno
[emoji23][emoji23][emoji23]..Mara ooo pogba akiwa free ndo anacheza vizuri..Yaani wachezaji ndani wapo 11 vs 11,hiyo nafasi ya mtu kuwa na free inatoka wapi??Kwa mtazamo wangu naona Bruno na Pogba kucheza pamoja, timu itakosa balance pale katikati
Wote wawili by nature sio defensive players japo Bruno anaweza kufanya hayo majukumu zaidi kuliko Pogba (box to box)
Ole anaweza kuwachezeaha wote katika mfumo wake pendwa wa 4 2 3 1 ambapo anaweza kumchezesha Pogba kwenye hiyo 2 upande wa kushoto na Bruno kwenye hiyo 3 katikati, hofu yangu ni kwamba timu itakuwa bora sana ikiwa na mpira lakini itatepeta sana ikiwa inashambuliwa
Pogba kupewa free role ni kuwapa mzigo wenzake wa kumzibia mashimo, Pogba sio Mesi, Pogba sio Ronaldo....... Pogba hapaswi kupewa free role, akaze kalio kama wenzake
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]..Mara ooo pogba akiwa free ndo anacheza vizuri..Yaani wachezaji ndani wapo 11 vs 11,hiyo nafasi ya mtu kuwa na free inatoka wapi??
He must work his arse out..
Kwahiyo umekasirika nipokwambia weka akiba ya maneno....??? 😛😛😛😛
Kama kuna kosa ambalo atalifanya OGS na kuharbu hii momentum ya team na dressing room ni kujarbu kumuaccomodate Pogba kwa expenses ya wachezaji wengne.
Team kwa sasa iko very stable kuanzia beki mpka ushambuliaji hata Martial japokua mvivu ila anafunga na kusaidia team
Bruno ameleta balance kubwa kwenye team kias kwamba unaona wachezaj wote wana morali ya kuitumikia team kwa moyo wote.
Pogba ni mchezaji mzur tena mzur sana ila kwa Manchester united ya sa hv tunahitaji team work kuliko uzur wa mchezaji mmoja mmoja
Chukua mfano Fred the Red maumivu ya Pogba yamemfanya awe mchezaji ambae ametumika msimu huu wote bila kuchoka na tunaona ambacho ana offer kwa Team, Matic katoka majeruh amerud kwenye form kubwa sana kias kwamba midfield yetu sasa hv tunaamua tucheze mfumo gan na upi kwa maana tuna wachezaji ambao wanakupa kila kitu kwa ajili ya Team.
Pogba anatakiwa atambue kwa sasa uhitaji wa Manchester united kwake sio mkubwa kama kipind tunaanza msimu so anatakiwa ku prove kwel anadeserve kuanza kwa kuonyesha kiwango bora, Inshort tunasema kila mtu ashinde mech zake on midfield battle na sio jina.
Ningekuwa kwenye nafasi ya OGS Pogba ningempa nafas kama ambavyo wengne wanapewa akiwa flopp anapigwa bench kusubiri wenzie wamuonyeshe umuhimu wa kuichezea Manchester United, na ikifika Jully ntammuliza unahitaj kupigania namba na team au kusepa,
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]..Mara ooo pogba akiwa free ndo anacheza vizuri..Yaani wachezaji ndani wapo 11 vs 11,hiyo nafasi ya mtu kuwa na free inatoka wapi??
He must work his arse out..
Huku wakisahau huu msimu wote tumekaa vzur bila Pogba na wala kusikia vurugu za dressing room au kudai mishahara mipyaKuna wadau wanaamini Man Utd itapata tabu sana bila kuwa na Pogba [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]..Mara ooo pogba akiwa free ndo anacheza vizuri..Yaani wachezaji ndani wapo 11 vs 11,hiyo nafasi ya mtu kuwa na free inatoka wapi??
He must work his arse out..
Hadi sasa, hakuna mchezaji aliyesajiliwa ama kuaminiwa Ole Gunner Solskjaer halafu aka-flop.
If he trusted Tahith Chong, am doubtless!
Jude Bellingham kinda wa miaka 16 wa Bermingham City
Leo ametembelea Carrington yeye na baba yake kama sehemu ya kufanya tour kwenye vilabu vinavyohitaji huduma yake
Mbali na United kuna vilabu vingine vikubwa vinavyomnyapia huyu dogo, Borussia Dortmond inatajwa kuwa kati ya timu zenye uwezekano wa kumsajili
Japo ana umri mdogo, Bellingham ameshacheza mechi takribani 25 kwenye kikosi cha kwanza cha Birmingham City
Jude ni mchezaji anayecheza nafasi ya kiungo (box to box midfielder) na namba 10 anapohitajika
Inasemekana United imebadili sera ya muda katika kusajili na imeanza mchakato ya usajili wa wachezaji kadhaa tangu Februari tofauti na siku za nyuma ambapo imekuwa ikisubiri mpaka siku za mwisho wa dirisha la usajili
Muda utaongea zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app