Mimi pia nadhani Pogba apigwe bei summer transfer window..sio kwamba B.Fernandes' aninipa kiburi,Naah..ni huyu jamaa kutokueleweka kama ulivyozungumza hapo..na litakuwa tu ni swala la Ole kutwist team ili kum-accomodate yeye na matokeo yanaweza kuwa sio chanya..Natamani abaki kuwa sehemu ya historia
We should move on
Summer inakuja tusajili wachezaji wanaojielewa..... Grealish/Madison not bad options
Huyu anaweza sema anabaki halafu katikati ya msimu aanze ujinga ujinga tena, kwanza ameshakuwa injury prone
We should move on
Kuelekea kumaliza msimu anaweza kucheza ili kuimarisha thamani yake na kwa kuwa tupo kwenye FA, Europa na ligi atapata tu nafasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea haikuwa level ya kusema ni timu kubwa tulivyokutana nao,walikuwa hawana tofauti sana na NorwichMan UTD 4-0 Chelsea
Unauzungumziaje ule ushindi?
Wasn't it comfortable?
Nawaza tu ni jinsi gani tuta-lineup Pogba atakavyorudi na kuwa na nia ya kubaki na sisi
Mwaka jana mlifuliliza hivi halafu kilichofuata nadhani unakijua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sancho hawezi kuja manyumbu unitedMan Utd kwa summer inayokuja wapo sokoni kwa wachezaji si chini ya 3
Waliopo kwenye radar ni
Winger (Sancho),
Striker (Unknown japo Jimenez, Lautaro Martinez wametajwa, juzi nimesikia na Kane)
Kiungo/Namba 10, Madison/Grealish
Sent using Jamii Forums mobile app
Man Utd kwa summer inayokuja wapo sokoni kwa wachezaji si chini ya 3
Waliopo kwenye radar ni
Winger (Sancho),
Striker (Unknown japo Jimenez, Lautaro Martinez wametajwa, juzi nimesikia na Kane)
Kiungo/Namba 10, Madison/Grealish
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawaza tu ni jinsi gani tuta-lineup Pogba atakavyorudi na kuwa na nia ya kubaki na sisi
Fred au Matic atakaa benchi sema timu defensively itakuwa so exposed hasa kama Solkjaer ataendelea kucheza 4 2 3 1.
Kama Solkjaer ataamua kubadili mfumo 3 5 2 au 4 4 2 diamond itaweza kuwa kuaccomodate wote wanne at once.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bruno Fernandez amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi (wa mashabiki) kwa mwezi Februari pale EPL.
Sijui mara ya mwisho Man Utd kutoa mshindi wa hii tuzo hata ilikua ni lini....
Siku za neema taratibu zaanza kurejea.
Pogba likitulia na likajituma, United itaimarika. Pogba anatokea kushoto, Bruno 10 alafu kati Fred na Matic
Sent using Jamii Forums mobile app
4:3:3 ita-accomodate (Pogba.Fred, Matic na Pogba) alafu (Bruno, Rash, Martial)
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nimeuliza ni lini mara ya mwisho...
We cant trade Bruno for Pogba, yaani yatakua ni makosa makubwa Pogba kucheza at the expense of Bruno.Ili Bruno au Pogba wafanye vizuri ni lazima acheze free role.
Sasa kuwachezesha pamoja itakuwa risk sana defensively.
Nachokiona mm Pogba akipona huenda DMs mmojawapo atakuwa sacrificed au Bruno atakuwa forced kucheza right wing au Bruno Fernandez atakuwa rested.
Ngoja tuone Solkjaer atakuja na plan gani ya kuaccomodate wote wawili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ngoja tusubiri tuone Solkjaer atakuja na plan gani.We cant trade Bruno for Pogba, yaani yatakua ni makosa makubwa Pogba kucheza at the expense of Bruno.
Tukajifunze Madrid anavyoweza ku-accommodate midfielders wengi at paHahaha ngoja tusubiri tuone Solkjaer atakuja na plan gani.
Ujue Bruno ni like to like replacement ya Pogba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukajifunze Madrid anavyoweza ku-accommodate midfielders wengi at pa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nadhani ni mgeni humu jukwaani hii statement nimeanza kuotoa toka mwezi September
Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea sio timu kubwa mkuu, chelsea ni Leicester city iliyochangamkaMan UTD 4-0 Chelsea
Unauzungumziaje ule ushindi?
Wasn't it comfortable?