Tunasajili kwa force pale tunapokuwa kwenye hali ngumu..Kila nikiangalia kiwango cha Bruno na jinsi Manchester walivyosuasua kumsajili japo walikuwa hawana upinzani toka timu zingine kubwa, naona pale Man U kuna shida sana na uongouongo mwingi
MANCHESTER COMBINED XI
Lee Sharpe and Paul Dickov have named their side if every player was fit. Do you agree with their picks?
Source#SKYSPORTS
Mnaonaje ipo Sawa h!! Changia.....View attachment 1379745
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila nikiangalia kiwango cha Bruno na jinsi Manchester walivyosuasua kumsajili japo walikuwa hawana upinzani toka timu zingine kubwa, naona pale Man U kuna shida sana na uongouongo mwingi
Sure mkuu kama baraka iliyojificha kwa majeruhi Wesley wa Aston Villa ndio Samata akatua jijini birmighamAmin Amin nakwambia, Tominay na Pogba wasingekuwa majeruhi Januari, sasa hivi Bruno Fernandez angekuwa anajiandaa kucheza na Aves huko motherland ya CR7
Injury kwa hao watu kwa kipindi kile ilikuwa ni baraka iliyojificha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe naweza iwahi.
Mpaka mwisho matokeo yatakuwa hivi.Manyumbuuuuu..... Leo mnakufaaa.... Sie watu wa Livepool kudanganya hatuwezi ila leo mnachakaa pale pale nyumbani kwenu bwana enu anakuja kuwapaka hapohapo mlipo.
Mnapata tabu sana kuona tunabeba huu ubingwa wetu......
Sent using Jamii Forums mobile app
Manyumbuuuuu..... Leo mnakufaaa.... Sie watu wa Livepool kudanganya hatuwezi ila leo mnachakaa pale pale nyumbani kwenu bwana enu anakuja kuwapaka hapohapo mlipo.
Mnapata tabu sana kuona tunabeba huu ubingwa wetu......
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui tuna department ya namna gani ktk usajili asee.Amin Amin nakwambia, Tominay na Pogba wasingekuwa majeruhi Januari, sasa hivi Bruno Fernandez angekuwa anajiandaa kucheza na Aves huko motherland ya CR7
Injury kwa hao watu kwa kipindi kile ilikuwa ni baraka iliyojificha
Sent using Jamii Forums mobile app
Asipopata sapoti itanisononesha sana. Yeye mwenyewe hawezi, naamni akiwa nyima yake kuna mctonomy, fred na mbele awepo wa kuookea na kushukakusaidia utamuona akifanya kitu.Tunasajili kwa force pale tunapokuwa kwenye hali ngumu..
Mfano tukifanikiwa kuingia Top four sitoshangaa tusiposajili RW kama Sancho hivi..
Hili ni tatizo..
Bruno ndo ana control team inavyocheza going foward..Last fixture hakua poa sana,ila leo inabidi aendelee kuproduce something decent ili atleast tufanye kitu Vs Pep's City
GGMU
Debruge asicheze magwaya atakuwepoWakuu vip hali ya maguire, vp atakuwepo ktk list?
Na vip hali ya de bryune bcoz aliumia bega game ya astonvila
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama atakuwepo kwenye match day squad. Nahisi hajawa fit 100% japo kaanza mazoezi na timu nzimaWazee Kirusi Pogba anaendeleaje??
Kikosi chetu cha awali
Kabla, kulikuwa kuna mashaka juu ya utimamu wa mwili wa Bissaka na Daniel James
Naona Bissaka amerejea, James ameshindwa. Maguire ameumia ankle mazoezini
Kwa upande wa City Laporte hayupo, De Bruyne hatihati View attachment 1380954
Sent using Jamii Forums mobile app
Pogba bado yupo kwenye mgomo? |