Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Norwich tutamtafuna vizuri tu

Rooney dakika za mwisho amechakarika sana..alitaka atufunge au??

Sasa macho kwenye derby yetu jumapili
 
Tatizo wanapoteza sana mipira na siyo aggressive

Sent using Jamii Forums mobile app
 
9 undefeated

6 wins

3 draws

21 goals scored

2 goals scored against us (conseded)

7 clean sheets

Hii ni run nzuri so far this season

Ole inabidi pia afanyie kazi jinsi ya ku-keep possession,tunapoteza sana mipira

GGMU
 
Kuna raia katika kutaka ku prove Mourinho was wrong wanalazimika kumsifia OGS hata pale anapoboronga

Kuna wale katika kutaka ku prove Mourinho was wrong walitamani hata Man upigwe kipindi kile ni meneja

Kuna watu katika kutaka ku prove Ole is wrong wanatamani Man Utd awe anapigwa

Kuna watu katika kutaka ku prove mchezaji flani ni mzuri wanatamani mchezaji mwingine mbadala kwenye namba hiyo hiyo acheze vibaya (wakati wote ni kwa ajili ya United)

Watu wanapaswa kusimama na timu na si mchezaji au kocha, kwenye kuboronga tuna criticize kwenye kufanya vizuri tunasifia, simple like that
Mtihani mkubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…