Timu imejitahidi japokuwa kuna moments tunajisahau mipira inapotea. Ila naona kweli timu yetu saivi na kila siku inazidi kua imara na confidence imekua nzuri saivi tukifika kwenye boksi ni goli linawindwa kwa gharama yeyote ile mfano goli la shaw limeonesha jinsi gani wachezaji walivyo na njaa na ujasiri wa kupiga mashuti golini tofauti na mechi za nyuma. Naona with this team tunafika Europa Fainali na top Four sio ishu tena.
#GGMU