Mkuu leo tunapata shida sana, nimeiangalia Everton mechi zake tatu za mwisho pamoja na hii ya mwisho lasy week na Arsenal Everton ni moto mkali.
Kuna wataalam wa Premier League waliweka prediction ya first XI ya Man U leo, ikiwa-include Shaw na Williams kushoto na Ighalo badala ya mvivu Martial. Naona Ole Kawapuuzia. NADHANI TUNAHITAJI FORWARD ALIYETAYARI KUVUNJIKA PUA KULIKO KUMUACHA BEKI APIGE FREE HEADER. tunafeli sana hapo mbele.
Sent using
Jamii Forums mobile app