Huna uwezo huo, weka jiwe mimi naweka hela ukishinda hiyo mechi unachukua
Wakuu jana Leicester city kapigwa 1 - 0 na Norwich, endapo tukimfunga everton jumapil itakua tofauti yetu na mtu wa tatu point 6View attachment 1372128
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia Yeri Mina wakati wa setpieces ana wavuruga sana mabekiYeah inabidi tukaze msuli, hizi mechi za karibuni tumepata matokeo, lakini kaugonjwa ketu ka inconsistent kanaweza kututembelea muda wowote
Kwenye head to head Everton amekuwa mnyonge kwetu (kiujumla) lakini ni ngumu kusahau kipigo cha goli 4 walichotupa mwaka jana pale Merseyside, nimemuona Ole akikiri kwamba kwake matokeo ya hiyo mechi ilikuwa ni lowest point kwake kama kocha (sijui kwa United au his whole carrier)
On paper tupo vizuri kuliko wao na tunaweza kuwapiga vizuri tu, kwenye pitch bado ni kitendawili kwani tangu tukutane nao mara ya mwisho kila timu imekuwa na mabadiliko kadhaa
Wachezaji wa kuwatazama ni Richalson na Lewin hasa hasa kwenye mipira ya juu. Mipira ya juu kupitia krosi na dead balls yote ni tishio ukicheza na Toffees
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mkufunzi wetu ni OLE au McKEAN yule mwenye upara?
Maana Ole utamkuta kakaa tu kakunja zake 4 lakini anayehamasisha wachezaji ni yule babu.
Hivi mkufunzi wetu ni OLE au McKEAN yule mwenye upara?
Maana Ole utamkuta kakaa tu kakunja zake 4 lakini anayehamasisha wachezaji ni yule babu.
OLE GUNNAR ASIWACHUKULIE POA EVERTON WAMEBADILIKA SANA KIUCHEZAJI WAPO VIZURI SANA YULE ANCELLOTI NI MASTERMIND AKIENDA OVYO MNAWEZA MKAPATA KIPIGO CHA MBWA KOKO TENA MKIZINGATIA MPO UGENINI
Sent using Jamii Forums mobile app
mike phelan ndiye mwenye upara.Hivi mkufunzi wetu ni OLE au McKEAN yule mwenye upara?
Maana Ole utamkuta kakaa tu kakunja zake 4 lakini anayehamasisha wachezaji ni yule babu.
inter milan vs getafe
Getafe amemuondoa ajax kwenye michuano ya europe league na hii ni dalili tosha ya kwamba hao wahuni watatuletea figisu kubwa sana kwenye kampeni yetu ya kutafuta nafasi ya uefa kwa mlango wa nyuma kama watafuzu hatua inayofuata
misimu miwili iliopita tuliwaondoa getafe kibahati zaidi (unaikumbuka ile nafasi waliokosa dakika za mwisho kupitia kwa bwana mapara akiwa peke yake, ile siku nusura niharishe)
getafe ndiye adui yetu mkubwa akifuatiwa na sevilla na si inter milan au ndugu yake AS roma.
timu za spain zinatudhalilisha sana
mwenye masikio na asikie.
common Inter Milan
View attachment 1372618

Upara yule mchezaji wa zamani wa Man City? Walikuwa Celta vigo wale.inter milan vs getafe
Getafe amemuondoa ajax kwenye michuano ya europe league na hii ni dalili tosha ya kwamba hao wahuni watatuletea figisu kubwa sana kwenye kampeni yetu ya kutafuta nafasi ya uefa kwa mlango wa nyuma kama watafuzu hatua inayofuata
misimu miwili iliopita tuliwaondoa getafe kibahati zaidi (unaikumbuka ile nafasi waliokosa dakika za mwisho kupitia kwa bwana mapara akiwa peke yake, ile siku nusura niharishe)
getafe ndiye adui yetu mkubwa akifuatiwa na sevilla na si inter milan au ndugu yake AS roma.
timu za spain zinatudhalilisha sana
mwenye masikio na asikie.
common Inter Milan
View attachment 1372618
oooh! sorryHata Celta vigo tuliwaondoa kea tabu sana the last tunalichukua hili kombe.
Sent using Jamii Forums mobile app
yes, niliwahi kuangalia mechi ya bayern leverkusen dhidi ya bayern munich (walicheza kwa nidhamu sana) hatimaye walipata ushindi ndani ya allianz arenaTisisahau pia timu za Germany ziko tatu na zote ziko moto sana lakini huenda tukapenya tukikutana nao.
ahsante sana kwa masahihishoUpara yule mchezaji wa zamani wa Man City? Walikuwa Celta vigo wale.
Sema kwa mfumo wa Ole naona kama Timu za spain hazitatusumbua sana maana nyingi zinafunguka. Conte atatusumbua anapaki sana basi.
Kama anaweza kusimama, kutembea, kuongea, kuandika anashindwa vipi kuendesha gari tena auto?Jamaa chombo chake huwa hakiachi duh.
Halafu katika age hiyo bado anaendesha gari?
Sent using Jamii Forums mobile app
yes, niliwahi kuangalia mechi ya bayern leverkusen dhidi ya bayern munich (walicheza kwa nidhamu sana) hatimaye walipata ushindi ndani ya allianz arena
leon bailey (dogo hana mbwembe nyingi kama martial), baadae alipata injury
moussa diaby (hatari sana huyu jamaa), aliwasumbua sana benjamin parvard na alphonso davies
kai havertz,
kevin volland
sven bender
lars bender
View attachment 1372767
timu nyenginezo sijabahatika kuzifuatilia