Manchester United (Red Devils) | Special Thread

HONGERENI KWA KUSHINDA MECHI JANA.

CHELSEA HATUNA ROHO YA KWANINI, TUNAWAPONGEZA

KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE ZILIZOBAKI.

SHUBAAAAAMIT ZENU JANA MMEOKOTA POCHI YA MZUNGU

Sent using Cash Money Wings
Awa wakishashinda mechi mbili tatu wana anza na ratiba za kubeba ubingwa ...utashangaa "tukishinda gemu saba mfululizo ubingwa wetu" hahaha ...kwa iyo ni kuyaombea njaa yaendelee kupigwa pigwa tu...

#CFC


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeona sasa ndo ujinga wenu huu unawaza nafasi ya tatu wakati ata ya tano ujafika...

Wewe huwezi presha yeyote kwenye club kubwa na tajiri kama Chelsea sahau ilo...

Sisi tutaendelea kucheza uefa kwa misimu mingine saba zaidi ...Spurs akikaa sawa anakushuka tu...

#CFC


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah kwa timu inayohitaji kufanya quick transition kama man united kwa ule uchezaji wa Grealish tutaweza kweli ?

Au kwa sababu Aston Villa wanacheza deep sana ndiyo maana na yeye anafanya hivyo kusubiri wenzake wapande.
Unamaanisha ana pooza mashambulizi?namwona ni team player ambaye yupo dedicated sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Grealish naona ni mtu anayedisturb mabeki hasa wa zile team zinazo paki basi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana defence yetu ilianza game vibaya sana na Mid pia(Matic+Fred) hawakuwa wametulia sana

Martial ni mchezaji mmoja haeleweki..kuna muda anakuwa kama hayupo au kilaza tu na kuna muda una ona huyu dogo ni world classy..Very inconsistency

Bruno Fernandes..Meeen!!,hiki ndo tulichokuwa tunahitaji

Muda sasa wa kuwafurusha Club Bruge kunako Europa League

GGMU
 
Endelea kupita mbele ya wanaume huku umevaa kanga moko iliyoloa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liver upepo unaelekea kwao ila siyo bora kiviiile
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…