Nina furaha sanaaa, haya mavitu yalikua wakati wa sir alex
Toka aje bruno timu yetu imebadilika sana, kila mchezaji anajitoa %
Bruno + Maguire hii ni raha ya kusajiri wachezaji wanaojielewa, corona virus pogba he must learn
Leo OT wameimba jina la bruno, kawa kipenzi cha fans, tuwaongeze pesa sportnglisbon tu
Mason greenwod kila nikimuangalia hainiumi kutomsajiri halland
Kule nyuma kwa kina maguire sina cha kuzungumza
Lile goli la martial ngoja nikalinywee serengeti lite za moto
Scot karejea
Lingard/pereira nina imani walikua wanatazama game kwenye tv, wanachakujifunza kwa fundi master pass bruno
Rashfod na corona virus pogba tunawasubiri mpone, msijiharakishe hakikishen mnapona %
Sent using
Jamii Forums mobile app