Timu inafubgwa goli Dakika ya 15,Hata kusubiri HT ifike uneshindwa umekimbilia kumtukana Kocha.Club Brugge washafanya yao 1-0.
timu hii ya OGS mbovu kama simba. Na kocha huyu alivyo mpumbavu kufanya Sub, atakuja kufanya sub ya kwanza dakika ya 85.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ngumu kumkwepa mwenye chuki asilia.Timu inafubgwa goli Dakika ya 15,Hata kusubiri HT ifike uneshindwa umekimbilia kumtukana Kocha.
Kocha atimuliweKocha hili acha basi tu.
nimekifuata mbali kingamuzi cha startimes ili nicheki mechi na nilicho kishuhudia ni ushubwada tokea dakika ya kwanza hadi alipoingia Fred na Fernandes atleast
Bora wewe mimi kesho nina UE ila nimesacrifice muda nicheki Mechi nakuta ukuda uliotukuka.
Ilionekana wazi Brandon amechoka Ole yupo macho kodoo. Lingard na Perreira walitakiwa wawe wa kwanza kufanya Sub tena Dk 45 ziwe ndio mwisho.
Watford wanaweza kutuongezea machungu kocha likiendelea kukaa kimya timu inafanya mazoezi kwenye mechi muhimu.
Mna mbabe wenu m1 tu LondonHao London babies hawana uwezo wa kubattle na sisi tutawavunja mbavu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kumfananisha lacazette na huyo afananishwae na rubbishLingard has more goals this year than Coutinho, Sterling and Lacazette combinedView attachment 1363962
Ushabiki bila unafiki mambo hayaendiFRED akipumzishwa then tukafungwa, mtamtupia tena Ole kwa kumpumzisha FRED. Unafiki ni circle system
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaNshasema na bado naendelea kusema Ole ni wa kufukuzwa pale united ila huyu Chief mkwawa daily anampigia promo kwamba anafaaa!!
Ole ni mjinga!
Wewe Chief mkwawa Ole hafai pale united
Nshasema na bado naendelea kusema Ole ni wa kufukuzwa pale united ila huyu Chief mkwawa daily anampigia promo kwamba anafaaa!!
Ole ni mjinga!
Wewe Chief mkwawa Ole hafai pale united
Mna mbabe wenu m1 tu London
#LondonIsRed
Na yule mbabe wao anaendelea kuimalika kadri siku zinavyosonga mbele!Mna mbabe wenu m1 tu London
#LondonIsRed
Unamjua ila unavunga tuHapo London kuna timu moja tu inayotusumbua sumbua misimu miwili iliyopita. Westham united.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamjua ila unavunga tu
#LondonIsRed