Huu mjadala wa OGS anafaa au hafai, kwa mawazo yangu nafikiri tumuhukumu Ole baada ya msimu kuisha ndio tumfanyie comparison, mpaka sasa ktk Epl standing ana nafasi ya top4 akichanga karata zake vyema, mpaka sasa anashiriki Europa league, lolote linaweza tokea
Kuna ingizo la Bruno + Ighalo
Scot, Pogba wanarejea next week, ubora utaongezeka ktk kikosi
Pamoja na mapungufu ya Ole ila squad depths imetuathiri sana this season + injury key players + consistency of some players, kumbuka kina Fred/Scot walichelewa sana kuwa form, Martial uwa hatumuelewi, dogo James naye haelewek
Ninaimani ujio wa Bruno+Ighalo utafanya timu nzima kuwa form, kwa taharifa za Marbella uko spain some players wanasifia sana ingizo la Bruno, ni mchezaji anayejitambua pia he is a leader, kabadilisha hali ya hewa uko Marbella
GGMU
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kigezo hicho kwanini hujamuweka hendo pamoja na wijnaldum kwenye list yako ya WC player! Wana consistency ya kama misimu 2+Kwa mtazamo wako hao sio WC player ?
To be wc players you must have consistency perfomance sio unacheza vizuri msimu mmoja then unapotea
Mkuu tunaongelea kipindi akiwa na Poch bila majeruhi,hakuna mwalimu aliyekuwa hataki kufanya kazi na Rose kipindi hicho!Kwamba DANNY ROSE ambaye sshv yupo NEWCASTLE kwa mkopo nae ni WORLD CLASS!??? we jamaa ARE U SERIOUS!????¿
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho wa siku mtasema wachezaji wote wa epl ni WC.Hivi ni vigezo gani vinamfanya mchezaji kuwa world class?
Hivi Toby Alderewid siyo world class?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu.Ole akiwa kwenye pressure ya kushinda haimpi tabu anashinda kirahisi tu.
Hili lipo pia kwa Martial anacheza mechi tatu bila goli siku mkitaka kumweka bench anatupia unasema ngoja tujaribu tena hii inconsistency ya namna hii ndiyo inayomtesa sana Ole.
It is true ingizo la wachezaji wapya litaleta impact fulani kwenye squad yetu kama watafit kikosini mapema.
Tukichanga karata vizuri top four tunaingia vizuri tu maana chelsea bado ana mechi kubwa nyingi kuliko sisi kikubwa inatakiwa tushinde game yetu dhidi ya Chelsea gape lipungue.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu.
Naomba uniambie faida ya kuingia top 4 hasa kwa club kubwa kama United.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kucheza UCL kwa sasa ni kupoteza muda.Kwa hali ya sasa tuliyonayo ni heri tuingie top four kuliko kubaki huko EUROPA league.
Hivyo tukiingia top four tunacheza UCL
Sent using Jamii Forums mobile app
Kucheza UCL kwa sasa ni kupoteza muda.
Bora michuano ipunguzwe.
Europa / UCL tuondoe kwenye ratiba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ole awekeze muda wake kwenye michuano michache impe tija.
Mbona Guardiola kapigwa na Wolves back to back kwahiyo na yeye ajitoe UEFA apambane na Wolves kwanza ?Ole awekeze muda wake kwenye michuano michache impe tija.
Sheffield imemshinda unaenda kupambana na Juventus.
Itakuwa unaenda kutimiza ratiba tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza google world class players utapata many articles,miaka ya nyuma tuliwahi jadili hapa JFHivi ni vigezo gani vinamfanya mchezaji kuwa world class?
Hivi Toby Alderewid siyo world class?
Sent using Jamii Forums mobile app
Club competition (domestic league+ UCL ) zina impact sana ndio maana Messi & CR7 hawajawahi shinda WC lakini wanachukua tuzo za mchezaji bora wa dunia kila mwaka while wanaochukua vikombe na timu ya taifa wanaambulia mikono mitupu .Timu ya taifa inacheza mechi 10+ mwaka mzima while kwenye klabu mchezaji anacheza hata mechi 50+Kama Trent ambaye akacheza international competition yoyote hajacheza kwenye national team anakuwa world class Toby akose hiyo sifa ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Top 4 hatugombanii United na Chelsea pekee kuna Wolves,Sheffield,Spurs,Everton nao wamefufuka baada ya Ancelotti kujaOle akiwa kwenye pressure ya kushinda haimpi tabu anashinda kirahisi tu.
Hili lipo pia kwa Martial anacheza mechi tatu bila goli siku mkitaka kumweka bench anatupia unasema ngoja tujaribu tena hii inconsistency ya namna hii ndiyo inayomtesa sana Ole.
It is true ingizo la wachezaji wapya litaleta impact fulani kwenye squad yetu kama watafit kikosini mapema.
Tukichanga karata vizuri top four tunaingia vizuri tu maana chelsea bado ana mechi kubwa nyingi kuliko sisi kikubwa inatakiwa tushinde game yetu dhidi ya Chelsea gape lipungue.
Sent using Jamii Forums mobile app