Ukiwakuta wanavyo wachambua wachezaji wao mmoja mmoja sasa unajikuta unacheka tu,Mtu amekazana kumchambua sijui nani yule anaitwa Tuanzebe kama nimepatia jina lake siju unajiuliza huyu mchezaji wanayemchambua ni Van Djik au Trent Anorld au ni nani.Uku angalau kuna wachambua soka kidogo kwa mbaaaal munajitaidi ..ila timu munayoichambua sasa dah..
Ngoja nikae kimya tu..
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
😂 Yani watu wenye professional zao za ukocha wanashindwa hii kazi alaf tuje tuwape wachambuzi wa JF! Kazi ya uchezaji na ukocha ziheshimiwe, humu tunaongea kama mashabiki tu ila wenye taaluma zao ndo wanajua mziki wake.Humu kuna wachambuz wanatakiwa wapewe timu , ni Zaid ya makocha...
Kuifunga Arsenal ilikuwa rahisi sana kuliko Stoke City.Hapa unatania au upo serious mkuu????yaani unaiita Arsenal ni timu ndogo kwa England??
Fact ni kwamba kwa sasa hizi timu 3 Man u ,Arsenal na Chelsea zimedrop...na zipo katika viwango sawa zote kwa sasa ndio maana mechi zake zimekuwa hazitabiriki zikikutana,
Lazima tukubali kuwa soka ni mbio za vijiti hakuna atakayekaa kileleni milele.....
Liverpool alibeba sana makombe huko nyuma lakini kumbuka amekaa 30yrs bila kubeba ligikuu na sasa wamerudi juu...
Chelsea pia walikaa 50 years nao wakarudi kipindi flani cha kati hapo wakawa vizuri sana....hivyo vingine vinakuwa visababu tu lakini fact ni kwamba hizi timu zetu kwa sasa ni zilipendwa.....hapo kuna mawili upotee mazima kama kina Nottingham Forest au urudi tena kama walivyoibuka Chelsea....
Tuwaachie wenzetu then zamu ikifika tutarudi tu juu....
Sent using Jamii Forums mobile app
Atapangwa?Nafikiri jamaa atasaidia kuleta maturity btn martial na Rashford!!
His performance will justify the end kwenye kuongezewa mkataba au la.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa amechukuliwa kwa mkopo ili aje kufanya nini??Atapangwa?
Nina wasiwasi Ole anaweza mpa mechi hazizidi 5 tu mpaka msimu uishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atapangwa?
Nina wasiwasi Ole anaweza mpa mechi hazizidi 5 tu mpaka msimu uishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni likizo fupi mpya ndani ya EPL..inaitwa Winter Break,baada wa vilabu kulalamika kuchoka sana baada ya mikiki ya decemberjamani hii likizo ndefu kwa baadhi ya timu kama ukuta wa china sababu kuu ni ipi?
najua jibu nitalipata kwa mr google ila si vibaya kuuliza humu ndani.
man city anacheza na west ham hapo kesho na zipo timu nyengine nimeona ratiba zao.Ni likizo fupi mpya ndani ya EPL..inaitwa Winter Break,baada wa vilabu kulalamika kuchoka sana baada ya mikiki ya december
Nadhani nao wiki inayofuata hawatacheza.man city anacheza na west ham hapo kesho na zipo timu nyengine nimeona ratiba zao.
sababu ni ipi labda iliopelekea timu nyengine ziwe na mechi hapo kesho?
vipi kuhusu hiyo likizo kiupande wao
makocha wa timu ndogo wakiongozwa na arsene wenger (samahanini wapenzi wa arsenal) nakumbuka ndio walikuwa mstari wa mbele kuongoza harakati za kimageuzi za mfumo wa dirisha la usajili lifungwe siku moja kabla ya ligi kuanza.Naona Waingereza wamebaha, wameona wanajizulumu wao wenyewe
Josh King sidhani kama watamrudia tena, yule alikua ni kwa-ajili ya mipango mifupi tu. Kwa hali tuliyonayo tukimsajili yule ni kama kujibebesha mzigo mwengine. Kwa sasa tunahitaji watu wapambanaji yule ni kama Martial tu.nimeikuta kwenye forum ya red cafe
sijaupitia huu uzi mpaka mwisho wala sijaingia ndani kufuatilia hii ishu hivyo basi kama itakuwa kuna uongo ndani yake au kuna mazuri zaidi ndani yake natumai wajuzi wa mambo wataweka wazi.
Ole Gunnar Solskjaer and Jim Solbakken
Apparently Ole Gunnar Solskjaers agent is Jim Solbakken and Atta Aneke is Jim Solbakkens business partner.
At Cardiff Ole signed 7 players managed by Solbakken and at Molde he signed 6 players managed by Solbakken and 4 managed by Atta Aneke.
Josh King was a Solbakken client four years ago and Ighalo is an Atta Aneke client.
============================
kuna harufu yeyote ya kusaidiana kwa marafiki hawa kweye mission za usajili?
man utd haifanani kabisa na molde au cardiff FC linapokuja swala la kusajili wachezaji, lakini kama itatokezea huyu jamaa Jim Solbakken anawahodhi wachezaji wenye wenye uwezo kama walivyo mawakala wengine hakutatokezea urafiki wa kibiashara kama ilivyokuwa cardiff na molde?
tukumbuke tumemkosa joshua king kwenye dirisha hili la usajili kwa ishu za maslahi tu hivyo basi huenda dirisha lijalo tukamrudia tena.
na pia upo uwezekano wa kumsajili ighalo kama kocha atavutiwa naye (na kuna njia nyingi za kocha kuvutiwa na mchezaji husika),
kwa mfano
kwa akili ya kawaida hivi inaingia akilini radamel falcao yule aliyejaa majeruhi yaliopeleka kushindwa kufanya vizuri man utd iliwezekana vipi msimu uliofuata kusajiliwa na chelsea iliokuwa chini ya jose mourinho kwa mkopo, radamel falcao tukumbuke wakala wake ni jorge mendez ambaye pia ni wakala wa jose mourinho.
The double agent - josimarfootball.com
Jim Solbakken has become Norway’s most influential football agent through his close friendship with Ole Gunnar Solskjær. And he prefers to sit at every side of the table.josimarfootball.com
Ole Gunnar Solskjaer was accused of a ‘conflict of interest’ over Cardiff buys
Ole Gunnar Solskjaer was accused of a conflict of interest after he signed three Norwegian players who were represented by his agent and close friend Jim Solbakken when he was the manager of Cardiff City in 2014.Within days of his appointment, Solskjaer signed the midfielder Magnus Wolff Eikrem frowww.thetimes.co.uk
ukimuondoa joshua king kuna mshambuliaji mwengine unayedhani anaweza kuja man utd?Josh King sidhani kama watamrudia tena, yule alikua ni kwa-ajili ya mipango mifupi tu. Kwa hali tuliyonayo tukimsajili yule ni kama kujibebesha mzigo mwengine. Kwa sasa tunahitaji watu wapambanaji yule ni kama Martial tu.
Josh King alihitajika ili kuja ku-cover nafasi ya Rashford aliyekuwa majeruhi na sidhani kama ndio ilikua usajili wa kutibu forward line yetu. Kwa vyovyote vile timu ilibidi imchukue hata King kuja kufanya kazi mpaka Rashford atakapopona, hivyo ni lazima tu angekuwa na matumizi ya muda mfupi labda kiwango chake ndo kingempa namba ya kudumu kwenye kikosi cha kwanza. King sio mchezaji wa kumuweka Rashford bench kwa form ambayo angetoka nayo pale AFCB. Hata kama tungempata King lazima tungeingia tena kusaka striker mwisho wa msimu, King alihitajika tu kwasababu dirisha la usajili January huwa hakuna wachezaji wengi wazuri walio sokoni kuuzwa.ukimuondoa joshua king kuna mshambuliaji mwengine unayedhani anaweza kuja man utd?
unaposema alikuwa ni mchezaji aliyekuwa kwenye mipango ya muda mfupi unamaanisha nini brother?
man utd walituma offer ya paundi millioni 20 kwa bournermouth lakini ilikataliwa ndipo wakamgeukia ighalo.
Joshua King: Man Utd boss Ole Gunnar Solskjaer coy on second bid for Bournemouth striker
Watch Manchester United vs Wolves on Saturday from 5pm on Sky Sports Premier League; kick-off is at 5.30pmwww.skysports.com