Bado nabaki palepale, Pogba sijawahi kujua kwanni ole alimkumbatia, Pogba alishaonyesha disrespectful tangu Ferguson era. Fergie akamuondoa. Though he world professional, mata, ana discipline Sana, Pogba hana ama anautoto, alitakiwa aelelekezwe, tofauti na Morinyo, ole anamzungumzia very positive, like he is sick, paper distroy his players, hayo ni maneno ya utetez kwa wachezaji wake. Morinnho just fuk around, yaani anatema Checheee mchezaji anamsema na kadhalika.Mkuu mimi ni mmoja wa wadau humu wakati watu wanatake side ya pogba na kumponda mourinho nilikuwa upande wa kocha, na nilitaka kipindi kile kile wakiondoka waondoke wote, kama ole hamtaki pogba ataondoka, kama pogba hataki man U ataondoka vile vile, ila mambo mengi ambayo yanasemwa juu ya huyu jamaa ni uzushi, mchezaji pia kaka yake kusema ana dream ya kucheza spain ni jambo baya? As long as ana mkataba na ni proffesional akautii huo mkataba kuna ubaya gani?
Pogba huyu huyu december amecheza mechi mbili sijui tatu hali ya kuwa ni majeruhi na maumivu, pogba huyu huyu halalamiki akichezeshwa out of position, jamaa muda wote amekuwa proffesional.
Na kuhusu huyo lukaku mkuu ame submit official kwa wahusika kwamba anataka kuondoka mwezi wa 3 na amekubaliwa as a proffesional alitakiwa kutii mkataba wake, lakini kitendo cha kujibizana na man u na kutoa siri za mazoezini kinaonyesha jinsi alivyo insecure, na according to luke shaw ole aliwaambia wakimbie taratibu hivyo hata zile data alizovujisha amedanganya kwamba yeye ni fast player.
Hii mada ya lukaku iishe hapa mkuu ila naomba hii comment iwe reference tuone inter itaishia vipi
MATIAL alicho mnong'oneza BRUNO kwenye mazoezi:-
Karibu sana kaka, ila naomba jambo moja kwako, kwa kweli sijui nakosea wapi, sometime mguu wangu unaenda kombo, nabaki na goal napaisha, muda mwingine nabaki na kipa nambabua.
Kaka naomba usiwe unanipa pasi za kumalizia mpira wavuni nitaaibika kukosa magoli, naomba unipe pasi na mimi nikokote kidogo nipige chenga, bora nilaumiwe kupoteza mpira kwenye chenga kuliko kukosa goal la wazi.
Naomba pass za mwisho nyingi mpe Rashford. Nipe pass ya mwisho pale umehakikisha kipa ametoka golini. Nakuahidi kaka nitakupa 10% ya mshahara wangu. Nifichie siri kaka. Ahsante Bruno.
Sent using Cash Money Wings
Nimefurahi mno timu yetu kusajili mtu (Bruno Fernandes) mwenye kipaji na uwezo mkubwa japokuwa sio mara kwanza kuleta watu wenye vipaji sawa na yeye au kumzidi kuanzia Angel Di Maria mpaka Paul Pogba na wote hawa wamefanya chini ya matarajio.
Kusema kweli matatizo yetu sisi sio wachezaji wala benchi la ufundi pekee ni zaidi ya hapa. Mtu mwenye jukumu la kuunganisha hizi talents ndo mbovu, maana yangu hapa ni kwamba ukiwa na mtu makini ktk hii nafasi anaweza kuajiri kocha hata mwenye uwezo wa kawaida ila akampa nyenzo za msingi anazozihitaji kwa wakati pasipo hata kutumia pesa nyingi. Unakua unafanya kazi ya usimamizi wa timu hususani on football decisions depending on technical team template, wao ndio watakuambia wanamtaka nani na kwa wakati gani ili kuweka targets zinazofika baada ya kuwapa kila nyenzo wanayohitaji kwa wakati as their football executive.
Sisi timu yetu ina mtu (Ed Woodward) amehodhi mamlaka makubwa ya kufanya maamuzi ila hayatendei haki. He’s smart as corporate executive but dumb as football executive, amekua akitumia pesa nyingi sana bila matokeo mazuri kwa ssb ameegemea zaidi kufanya head hunting akiingia sokoni anatumia recommendations ambazo huwa ni second tier kwa makocha wengi hasa hasa unapozima moto, ila njia hii ina faida kwa timu financially maana hufuatwa mtu ambaye hufahamika na ana jina. Best option kwa makocha wengi hujenga timu imara kwa kuwapa special requirements kwa scout team wao kuwatafutia watu wenye sifa wanazohitaji ili kuendana na mfumo wake kwa wakati husika sasa.
Ed hufanya madudu sokoni muda ambao makocha waki-file recommendations zao kwake yeye hu-prefer head hunting ambayo haifanyi kwa wakati mfano mzuri Jose Mourinho alimhitaji Harry Maguire yeye akamleta msimu unafuata na kwa gharama kubwa kuliko bei yake ya awali msimu mmoja nyuma maana yake hapa unampa kocha excuse za kutokufika targets. (Expensive Approach but worthy if it’s executed timely)
Mwisho, Njia ya kujenga timu imara kimkakati hii hufanyika zaidi na scouts ambapo football executive mzuri huchukua recommendations za technical team inayoongozwa na kocha mkuu na ku-forward hizo taarifa kama zilivyo to all head of scouts region-wise na wao hutafuta hivyo vipaji kulingana na sifa walizoweka bench la ufundi kwa wakati waliopangiwa ili kurudisha majina waliyoyaona haraka kwa benchi la ufundi ili wakae ku-review wanamchagua nani aje ktk mkakati wao. Upuuzi wa Ed huwa haingiagi full swing sokoni na hii njia ambayo ni njia nzuri sana kujenga timu taratibu with minimal media pressure na mnakua mnanunua wachezaji sahihi zaidi kwa mapendekezo ya benchi la ufundi. Hii njia imetumika sana na Liverpool kwa misimu hii mitatu mfululizo. (Economical Approach with effective strategy execution)
Sio man U tu ligi nzima ya uingereza hakuna kama Martial linapokuja suala la conversion rate, mara chache sana awe kwenye nafasi ya kufunga akose.MATIAL alicho mnong'oneza BRUNO kwenye mazoezi:-
Karibu sana kaka, ila naomba jambo moja kwako, kwa kweli sijui nakosea wapi, sometime mguu wangu unaenda kombo, nabaki na goal napaisha, muda mwingine nabaki na kipa nambabua.
Kaka naomba usiwe unanipa pasi za kumalizia mpira wavuni nitaaibika kukosa magoli, naomba unipe pasi na mimi nikokote kidogo nipige chenga, bora nilaumiwe kupoteza mpira kwenye chenga kuliko kukosa goal la wazi.
Naomba pass za mwisho nyingi mpe Rashford. Nipe pass ya mwisho pale umehakikisha kipa ametoka golini. Nakuahidi kaka nitakupa 10% ya mshahara wangu. Nifichie siri kaka. Ahsante Bruno.
Sent using Cash Money Wings
amepewa namba ngapi mgongoni?View attachment 1342337
kama anamwambia vile sasa nimekuja ushindwe mwenyewe kufunga kwa mapande nitakayo kupa
Hata mfumo wa ole 4-3-3 wa kulia na kushoto ni mastriker kitaalamu wanaitwa inside forward, greenwood anatokea kulia na ni striker. Hakuna tofauti yoyote na hio ya ubelgiji na ole mwenyewe amelisema kwa mdomo wake.
Hata beckham alivyoondoka kabla ya Ronaldo kuanza 1st team ole alipelekwa pembeni na kuwa support ya Rvn, so is suarez kwa sturidge, lacazete kwa Auba, etc ni jambo common sana kwenye mpira.
Na ukitaka full match ya brazil na ubelgiji pia naweza kukuekea.
Mkuu mimi ni mmoja wa wadau humu wakati watu wanatake side ya pogba na kumponda mourinho nilikuwa upande wa kocha, na nilitaka kipindi kile kile wakiondoka waondoke wote, kama ole hamtaki pogba ataondoka, kama pogba hataki man U ataondoka vile vile, ila mambo mengi ambayo yanasemwa juu ya huyu jamaa ni uzushi, mchezaji pia kaka yake kusema ana dream ya kucheza spain ni jambo baya? As long as ana mkataba na ni proffesional akautii huo mkataba kuna ubaya gani?
Pogba huyu huyu december amecheza mechi mbili sijui tatu hali ya kuwa ni majeruhi na maumivu, pogba huyu huyu halalamiki akichezeshwa out of position, jamaa muda wote amekuwa proffesional.
Na kuhusu huyo lukaku mkuu ame submit official kwa wahusika kwamba anataka kuondoka mwezi wa 3 na amekubaliwa as a proffesional alitakiwa kutii mkataba wake, lakini kitendo cha kujibizana na man u na kutoa siri za mazoezini kinaonyesha jinsi alivyo insecure, na according to luke shaw ole aliwaambia wakimbie taratibu hivyo hata zile data alizovujisha amedanganya kwamba yeye ni fast player.
Hii mada ya lukaku iishe hapa mkuu ila naomba hii comment iwe reference tuone inter itaishia vipi
Mi naposomaga baadhi ya post, huwa naenda mbele na kuangalia mental framwork ya muandishi. hii huwa inanifanyaga nijiulize kama tuna watu wa namna hii tunakosea wapi watanzania??Nimefurahi mno timu yetu kusajili mtu (Bruno Fernandes) mwenye kipaji na uwezo mkubwa japokuwa sio mara kwanza kuleta watu wenye vipaji sawa na yeye au kumzidi kuanzia Angel Di Maria mpaka Paul Pogba na wote hawa wamefanya chini ya matarajio.
Kusema kweli matatizo yetu sisi sio wachezaji wala benchi la ufundi pekee ni zaidi ya hapa. Mtu mwenye jukumu la kuunganisha hizi talents ndo mbovu, maana yangu hapa ni kwamba ukiwa na mtu makini ktk hii nafasi anaweza kuajiri kocha hata mwenye uwezo wa kawaida ila akampa nyenzo za msingi anazozihitaji kwa wakati pasipo hata kutumia pesa nyingi. Unakua unafanya kazi ya usimamizi wa timu hususani on football decisions depending on technical team template, wao ndio watakuambia wanamtaka nani na kwa wakati gani ili kuweka targets zinazofika baada ya kuwapa kila nyenzo wanayohitaji kwa wakati as their football executive.
Sisi timu yetu ina mtu (Ed Woodward) amehodhi mamlaka makubwa ya kufanya maamuzi ila hayatendei haki. He’s smart as corporate executive but dumb as football executive, amekua akitumia pesa nyingi sana bila matokeo mazuri kwa ssb ameegemea zaidi kufanya head hunting akiingia sokoni anatumia recommendations ambazo huwa ni second tier kwa makocha wengi hasa hasa unapozima moto, ila njia hii ina faida kwa timu financially maana hufuatwa mtu ambaye hufahamika na ana jina. Best option kwa makocha wengi hujenga timu imara kwa kuwapa special requirements kwa scout team wao kuwatafutia watu wenye sifa wanazohitaji ili kuendana na mfumo wake kwa wakati husika sasa.
Ed hufanya madudu sokoni muda ambao makocha waki-file recommendations zao kwake yeye hu-prefer head hunting ambayo haifanyi kwa wakati mfano mzuri Jose Mourinho alimhitaji Harry Maguire yeye akamleta msimu unafuata na kwa gharama kubwa kuliko bei yake ya awali msimu mmoja nyuma maana yake hapa unampa kocha excuse za kutokufika targets. (Expensive Approach but worthy if it’s executed timely)
Mwisho, Njia ya kujenga timu imara kimkakati hii hufanyika zaidi na scouts ambapo football executive mzuri huchukua recommendations za technical team inayoongozwa na kocha mkuu na ku-forward hizo taarifa kama zilivyo to all head of scouts region-wise na wao hutafuta hivyo vipaji kulingana na sifa walizoweka bench la ufundi kwa wakati waliopangiwa ili kurudisha majina waliyoyaona haraka kwa benchi la ufundi ili wakae ku-review wanamchagua nani aje ktk mkakati wao. Upuuzi wa Ed huwa haingiagi full swing sokoni na hii njia ambayo ni njia nzuri sana kujenga timu taratibu with minimal media pressure na mnakua mnanunua wachezaji sahihi zaidi kwa mapendekezo ya benchi la ufundi. Hii njia imetumika sana na Liverpool kwa misimu hii mitatu mfululizo. (Economical Approach with effective strategy execution)
Lukaku alimisbehave sana dakika zake za mwisho man u mkuu, fuatilia ugomvi wake wa Luke Shaw.Lukaku never submit transfer request, weka source mzee hapa. Kilichopo ni ni kwamba aliongea kocha baada ya kuona hayupo kwenye mipango ya kocha na kuona sehemu nyingine anaweza kuthaminiwa
Maana inaonekana wewe una information za ndani ndani embu tuwekee source hapa hapa tuone article inayosema hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa hakuongelea ishu ya game moja, ina maana walikaa wakajadili mustakhabali wake klabuni, kocha ndio akamwambia kwamba amepanga kumchezesha pembeni.Hata ole siku aliomchezesha lukaku pembeni(dhidi ya Arsenal) ilikuwa ni tactical twist, si kwamba siku zote alikuwa akimchezesha pembeni. Mfano mechi ya psg lukaku alikuwa mbele.
"Solskjaer has my eternal respect," said Lukaku.Lukaku never submit transfer request, weka source mzee hapa. Kilichopo ni ni kwamba aliongea kocha baada ya kuona hayupo kwenye mipango ya kocha na kuona sehemu nyingine anaweza kuthaminiwa
Maana inaonekana wewe una information za ndani ndani embu tuwekee source hapa hapa tuone article inayosema hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
18amepewa namba ngapi mgongoni?
MATIAL alicho mnong'oneza BRUNO kwenye mazoezi:-
Karibu sana kaka, ila naomba jambo moja kwako, kwa kweli sijui nakosea wapi, sometime mguu wangu unaenda kombo, nabaki na goal napaisha, muda mwingine nabaki na kipa nambabua.
Kaka naomba usiwe unanipa pasi za kumalizia mpira wavuni nitaaibika kukosa magoli, naomba unipe pasi na mimi nikokote kidogo nipige chenga, bora nilaumiwe kupoteza mpira kwenye chenga kuliko kukosa goal la wazi.
Naomba pass za mwisho nyingi mpe Rashford. Nipe pass ya mwisho pale umehakikisha kipa ametoka golini. Nakuahidi kaka nitakupa 10% ya mshahara wangu. Nifichie siri kaka. Ahsante Bruno.
Sent using Cash Money Wings
Lukaku alimisbehave sana dakika zake za mwisho man u mkuu, fuatilia ugomvi wake wa Luke Shaw.
"Solskjaer has my eternal respect," said Lukaku.
"He understood me when I said in March that it was time for me to leave.
"I had been in the Premier League as an 18-year-old boy and now I am 26. Solskjaer wanted to keep me, but I was ready for something new.
Tafsiri isio rasmi paragraph ya pili amesema alinielewa pale nilipomwambia mwezi wa tatu kuwa muda umefika wa mimi kuondoka.
Pogba's Agent: Pogba want to move on, every one at the club knows that, from the manager to the owner (source BBC)
Hii ilikuwa siku kadhaa baada ya Pogba kusema it could be a good time to have new challenge somewhere else (halafu wewe unatuambia eti ni uzushi wa magazeti, na taarifa unazotoa wewe sio uzushi wa magazeti [emoji848])
Na hapa Pogba hata hajaondoka, akiondoka ndio tutasikia mengi zaidi
Na hii nafikiri ni transfer request (kwa tafsiri yako)
Ninachofahamu mimi transfer request zenye uzito ni zile written, kama alichofanya Payet kwa West Ham mwaka uleeeView attachment 1342542View attachment 1342545View attachment 1342546
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu comment yako imenifanya niingie machimbpo zaidiHapa tunaongelea Lukaku kuchezeshwa central striker, na nimekwambia hiyo case ya kuchezeshwa pembeni kwenye game ya Brazil ilikuwa ni tactic mahususi kulingana na mechi hiyo, lakini kwa kawaida Lukaku mechi zote anaanzia kati. Sasa wewe kuchezeshwa mechi moja ndio unataka kutuaminisha kuwa mechi za Ubelgiji Lukaku huwa anatokea pembeni
Tuma na mechi za Belgium dhidi ya England, Tunisia na Panama. Lukaku namba anayocheza Ubelgiji ni central striker na huwa hatokei pembeni. Case ya mechi moja isikufanye u generalise
Sent using Jamii Forums mobile app