Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,478
labda fred anazitupia sana mazoezini,Nothing special..
Maguire atleast leo ameonyesha umwamba..
Hivi Ile faulu kwa nini hakupiga Mata??
I agree bahati ilikua Upande wetu lakini defense yetu ilicheza kwa nidhamu ikawa kuna makosa kadhaa yangetucost.Nothing special..
Maguire atleast leo ameonyesha umwamba..
We were lucky kutokufungwa
Hivi Ile faulu kwa nini hakupiga Mata??
Nini hiki umeandika Kaka sijakuelewaOtherwise tunajipa hope kwamba Pengine hiki kitakua kikombe kimojawapo tutakacho ambulia msimu huu.
Mkuu unaongelea Martial huyu hataki hata jezi yake ichafuke, hataki kupiga mpira hata kichwa afro litavurugika, hataki kupata hata ka-yellow kamoja akiipambania timu, Martial huyu anaanza na kumaliza mechi 6 anafunga kagoli kamoja (tena kwa Tranmere)
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha nimekua excited na matokea nikajikuta tumeenda final I thought our previous result pale Trafford was 2-2.Nini hiki umeandika Kaka sijakuelewa
Pep katia watikisa nyavu watano
MUFC akitoa draw au kushinda leo siingii humu wiki nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wasimamizi ni FA yaani chama, basi inahishika nafikiri.Hivi hii kwenye EPL inamuathiri?
Kwenye FA najua inaathiri hadi kwenye EPL
Sent using Jamii Forums mobile app
Solskjaer on late free-kick: "Juan is the best one. He told me Fred was unbelievable in training yesterday. He scored six or seven. They felt it was his moment."labda fred anazitupia sana mazoezini,
Jana nimefurahi kumuona OGS akimkaripia Lingard, sasa nafikiri kafaham dogo kilaza
Fred the red anakiwasha kila game, haijarishi iwe kubwa au ndogo, nimatumaini kurejea kwa Pogba + Scot na ujio wa fundi wa mpira Bruno pale kati kitachafuka
Pia nimefurahi jana OGS kasema anataiji striker ambaye yupo teyar avunjike pua ili ashinde goli
Sent using Jamii Forums mobile app
Martial hawezi kutupeleka popote..hata tu-battle na mabeki mipira ya juu hafanyi,anafanya tu kuangalia..shenzi sana huyu jamaa..tusajili mchezaji anayeweza kufunga magoli kutoka kwenye kila angle(Header,tap in, Far shooting,battling n.k)Jana nimefurahi kumuona OGS akimkalipia Lingard, sasa nafikiri kafaham dogo kilaza
Fred the red anakiwasha kila game, haijarishi iwe kubwa au ndogo, nimatumaini kurejea kwa Pogba + Scot na ujio wa fundi wa mpira Bruno pale kati kitachafuka kwel kwel
Pia nimefurahi jana OGS kasema anataiji striker ambaye yupo teyar avunjike pua ili ashinde goli (nafikir kamchoka brazamen Martial asiyetaka kuchafuka)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie nilitaka kuzimia Martial kufananishwa na Firminho ila kila mtu ana uono na uwelewa wakeMartial hawezi kutupeleka popote..hata tu-battle na mabeki mipira ya juu hafanyi,anafanya tu kuangalia..shenzi sana huyu jamaa..tusajili mchezaji anayeweza kufunga magoli kutoka kwenye kila angle(Header,tap in, Far shooting,battling n.k)
Kuna watu wanamlinganisha na Firminho anavyocheza false 9..aisee Firminho ni mtu mwingine
Jamaa fala yule... Bishoo sana hawezi purukushani.Martial hawezi kutupeleka popote..hata tu-battle na mabeki mipira ya juu hafanyi,anafanya tu kuangalia..shenzi sana huyu jamaa..tusajili mchezaji anayeweza kufunga magoli kutoka kwenye kila angle(Header,tap in, Far shooting,battling n.k)
Kuna watu wanamlinganisha na Firminho anavyocheza false 9..aisee Firminho ni mtu mwingine
Nimefurahi sana kusikia Ole anasema anahitaji mtu ambaye anaweza hata kuvunja pua yake ili tu mpira uingie nyavuni,nadhani kashakubali huyu bishoo anachoweza ni kufunga "nice goals" inconsistently na kutembea tu kibrazamen uwanjaniJamaa fala yule... Bishoo sana hawezi purukushani.
Jana nimefurahi kumuona OGS akimkalipia Lingard, sasa nafikiri kafaham dogo kilaza
Fred the red anakiwasha kila game, haijarishi iwe kubwa au ndogo, nimatumaini kurejea kwa Pogba + Scot na ujio wa fundi wa mpira Bruno pale kati kitachafuka kwel kwel
Pia nimefurahi jana OGS kasema anataiji striker ambaye yupo teyar avunjike pua ili ashinde goli (nafikir kamchoka brazamen Martial asiyetaka kuchafuka)
Sent using Jamii Forums mobile app