Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mpeni muda Olesendeka a.k.a Olemasai awatengeneze timu.
 
Wengine wanaamini Raiola amempoteza dogo kumshauri aende Dortmund badala ya kuja United ambayo imefikia stage hata kupiga pasi 6 tunahangaika.

Dortmund was perfect team for Haaland at the moment
Sent using Jamii Forums mobile app
 


Huyu mtoto ni Hatari Erling Haaland yaani hatatukija kukaa sawa sitakaa nimsamehe Solskjaer na bodi kwa Kosa la kijinga lakumuacha dogo kama huyu.
Yaani anazo qualities zote za ushambuliaje anakupiga position yeyote. A mistake united will never fix ndo hii Huyu akitoka Dortmund ni anaenda kati ya Bayern Munich, Barcelona au Madrid wanaojua kutumia hela. Talented finisher with good psychic ananikumbusha Lewandowski alivyokua na muhuni Andriy Shevchenko. One mistake umepigwa goli.
Classic Erling Haaland Manutd hatuna original namba 9 kwa sasa wakumzidi huyu Dogo. Ila bodi ndo imekua ya kisenge na solskjaer analinda kibarua kwa matumaini ya kusupport kila Woodward anachotaka. Shame on these embeciles hii laana itawatafuna mpaka siku wanakufa tukikosa top four msimuu maana wao ndo watakua wamesababisha huu usenge.
 
Sasa hapo scouting team ina makosa, yenyewe ilimu identify

Negotiators/Ed ndio waliofanya maamuzi ya kutomnunua
Halaand mechi 2 goal 5 halafu anatokea bechi.

Poor man u, poor man u scouting team, poor man u mgt.

Huyu Kijana alikuwa wenu. Haya mchukueni teves maflop yenu



Sent using Cash Money Wings

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha mkuu umeandika kwa hasira sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Haaland ametu prove wrong sana. Pamoja na uwepo Wa Greenwood bado alipaswa kusajiliwa mana wengi tuliamini hana jipya saaana tofauti na greenwood,hivyo tukaamini akija angedumaza maendeleo ya greenwood japo naamini mawazo ja bodi kuachana nae ni ishu ya hela na si kumuendeleza greenwood
 
Nimeamka asubuh kwa matarajio labda ntasikia huyu kilaza Ole Sendeka kafukuzwa kazi, nakuta kimya

Daaah


Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiacha huu upuuzi WA ole kuwa kocha wa Man u mpaka sasa upande wa pili tunahusishwa na ighalo na tevez eti deal za mkopo....huu wote ni ujinga wa ole kumuachia lukaku sahizi anategemea huruma za mashabiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiacha huu upuuzi WA ole kuwa kocha wa Man u mpaka sasa upande wa pili tunahusishwa na ighalo na tevez eti deal za mkopo....huu wote ni ujinga wa ole kumuachia lukaku sahizi anategemea huruma za mashabiki

Sent using Jamii Forums mobile app
5days left to close january window
Hakuna dalili ya bruno, it means kina woodward pengine wameona Ole si mtu sahihi kuleta hitaji lake wakat wanamfukuza muda wowote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda wewe ndio uliamini Haaland hawezi kutusaidia

Haaland kwa mwaka 2020 amefunga magoli mengi kuliko Manchester United, painful fact
Akili zetu wapenzi Manchester United zipo sawa tu na kocha na uongozi wetu wakati wa usajili wa Haaland wote tulimlaumu sana Mino na wengine tulidiriki kusema ana uwezo wa kuchezea Manchester United ati tuna Martial Greenwood sasa tunaumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5days left to close january window
Hakuna dalili ya bruno, it means kina woodward pengine wameona Ole si mtu sahihi kuleta hitaji lake wakat wanamfukuza muda wowote

Sent using Jamii Forums mobile app
pia inawezekana bruno fernandez si chaguo la ole gunnar solskjaer.
mawazo yetu tunapaswa tuyaelekeze pande zote mbili za shilingi (impossibility and certainty)

hivi ole alishawahi kuongea jambo kwa lugha ya mafumbo ya kwamba anamuhitaji kiungo aina ya bruno, haiwezekani madirisha mawili tunavumishiwa kumhitaji mchezaji mmoja na tunashindwa kumsajili.

jose alipohitaji kiungo mkabaji aliongea hadharani (akaletewa nemanja matic)
jose alipohitaji mshambuliaji wa kuziba nafasi ya rooney aliongea (akaletewa lukaku baada ya kufeli dili la morata)
jose alipohitaji kiungo wa pembeni aliongea japokuwa hakuletewa aliyemuhitaji (ivan perisic)
jose alipohitaji mlinzi mwengine wa kati na wachezaji wengine wawili hakuletewa na mgogoro ndipo ulipoanzia (eneo la ulinzi chaguo lake ilikuwa ni toby alderweireld au harry maguire)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…