HahahaLile goli la pili la Burnley linaweza kutatua matatizo mengi kama kupata kazi, kupata mke, na mengineyo mengi...
Ule mtutu ungeweza kuchana nyavu aise..
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani The red devils.........
Ka'loose nyingi kuliko alizo'win
Ka'loose nyingi kuliko alizo'win
Scholes, Ferdinand, Keane, Neville kimya bcoz OGS ni mwenzao
Maisha bila ya unafiki hayaendi
Sent using Jamii Forums mobile app
Comment ya scholes sasaKa'loose nyingi kuliko alizo'win
Scholes, Ferdinand, Keane, Neville kimya bcoz OGS ni mwenzao
Maisha bila ya unafiki hayaendi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahhh yaani Scholes kawa mpole ivyo baridiiii, kipindi cha Mou na LVG asingweza toa comment kama hii
There is currently 4 points separating 5th and 14th in the Premier League
View attachment 1331996
Table inadanganya sana kwa kuangalia position, ukitaka uhalisia angalia points
Hata huyo namba 5 na wa relegation zone bado hawatofautiani kiivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkomeee mpka muoneshe mlipoficha mke wa mganga01/02 = tunacheza nyumbani dhidi ya wolves
- sheffield anashika nafasi ya 8 na amezidiwa kwa alama 1 na manchester united wanaoshika nafasi ya 5
- southampton anashika nafasi ya 9 na amezidiwa kwa alama 3 na manchester united wanaoshika nafasi ya 5 (mechi 10 za mwisho wamepoteza mechi mbili na draw 1)
- newcastle anashika nafasi ya 14 na amezidiwa kwa alama 4 na manchester united wanaoshika nafasi ya 5.
- brighton wanashika nafasi ya 15 na amezidiwa kwa alama 9 na manchester united wanaoshika nafasi ya 5
- wattford anashika nafasi ya 19 na amezidiwa kwa alama 11 na manchester united wanaoshika nafasi ya 5.
- norwich anashika mkia amezidiwa kwa alama 17 na manchester united
17/02 = tunacheza ugenini dhidi ya chelsea
23/02 = tunacheza nyumbani dhidi ya watford
01/03 = tunacheza ugenini dhidhi ya everton
07/03 = tunacheza nyumbani dhidi ya ma city
14/03 = tunacheza ugenini dhidi ya tottenham