Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,527
- 32,718
Kwani mkuu mpira umeanza kuangalia juzi Ferguson mwenyewe timu ilikuwa imisha anza kumshinda.Kocha wa ajabu sana huyu....timu yeyote ikija inamtaka mchezaji wanauziwa anabakisha vitoto na ana replace kwa kuchukua vitoto vingine.
Ferguson kwanini uli quit.. angalia matatizo Sasa tunayopata
Sent using Jamii Forums mobile app
Bodi ya Man u iwafanyie nini zaidi ya haya since Ferguson departure:-
Tatizo ni sajili au makocha?
Mata - €44.5M
Fellaini - €32.40M
Di Maria - €75M
Shaw - €37.50M
Herrera - €36M
Rojo - €20M
Blind - €17.5M
Savic - €1.75M
Martial - €60M
Schneidelin - €35M
Depay - €34M
Damian - €18M
Sweveinstaiger - €9M
Pogba - €105M
Mktaryan - €42M
Bailly - €38M
Lukaku - €84.7M
Matic - €44.7M
Lindelof - €35M
Sachez - €34M
Fred - €59M
Dalot - €22M
Grant - €1.7M
Maguire - €87M
Bissaka - €55M
James - €17M
Sent using Cash Money Wings
Arsenal ni New Everton, kamwe hamutoweza kutoka hapo mulipo.
Yani kuanguka kwa Liverpool subiri mpaka aondoke Klopp
Kwani mkuu mpira umeanza kuangalia juzi Ferguson mwenyewe timu ilikuwa imisha anza kumshinda.
Matokeo mabovu yalianzia kwa Ferguson ndipo alipo amua Ku quit tokea hapo man u hajawahi kuwa sawa.
we in KE??
Yaani unaipenda nyumbu united alafu unazidi kupendeza...Ndio
Tuangalie rekodi ya EPL pekee kuanzia msimu wa 2006/07 hadi anastaafu.Kwani mkuu mpira umeanza kuangalia juzi Ferguson mwenyewe timu ilikuwa imisha anza kumshinda.
Matokeo mabovu yalianzia kwa Ferguson ndipo alipo amua Ku quit tokea hapo man u hajawahi kuwa sawa.
Cash Money huwa muda mwingine una akili muda mwingine mzinguajiGleazer ni wamiliki wa timu wanaweza kuiza man u kwa tajiri mwingine, mo dewji ni mwekezaji kwenye timu sio mmiliki wa simba, uwezo alionao Mo ni kuuza hisa zake na kujiondoa kama mwekezaji
Sent using Cash Money Wings
Lkn kumbuka mpira wa sasa umebadilika sanaTatizo n kocha tu... anatakiwa aje kocha kama jose Enrique Yule wa Barca.. me nakumbuka enz za Ferguson wachezaj walikuwa wa hovyo sana akina oshea beki Sylvester.. na bado team ikabeba ubingwa.. so inshu sio wachezaj..
Sent using Jamii Forums mobile app
Cash money nakuelewa sanaBodi ya Man u iwafanyie nini zaidi ya haya since Ferguson departure:-
Tatizo ni sajili au makocha?
Mata - €44.5M
Fellaini - €32.40M
Di Maria - €75M
Shaw - €37.50M
Herrera - €36M
Rojo - €20M
Blind - €17.5M
Savic - €1.75M
Martial - €60M
Schneidelin - €35M
Depay - €34M
Damian - €18M
Sweveinstaiger - €9M
Pogba - €105M
Mktaryan - €42M
Bailly - €38M
Lukaku - €84.7M
Matic - €44.7M
Lindelof - €35M
Sachez - €34M
Fred - €59M
Dalot - €22M
Grant - €1.7M
Maguire - €87M
Bissaka - €55M
James - €17M
Sent using Cash Money Wings
Hata mimi nimejiuliza hiki piaBodi ya Man u iwafanyie nini zaidi ya haya since Ferguson departure:-
Tatizo ni sajili au makocha?
Mata - €44.5M
Fellaini - €32.40M
Di Maria - €75M
Shaw - €37.50M
Herrera - €36M
Rojo - €20M
Blind - €17.5M
Savic - €1.75M
Martial - €60M
Schneidelin - €35M
Depay - €34M
Damian - €18M
Sweveinstaiger - €9M
Pogba - €105M
Mktaryan - €42M
Bailly - €38M
Lukaku - €84.7M
Matic - €44.7M
Lindelof - €35M
Sachez - €34M
Fred - €59M
Dalot - €22M
Grant - €1.7M
Maguire - €87M
Bissaka - €55M
James - €17M
Sent using Cash Money Wings
Yaani sielewi kwann mpaka sasa OGS ajafukuzwa? sielewi uko mazoezini uwa anafundisha nin wachezaji? yaan sielewOGS out of depth, ukimtazama anatia huruma
Positivity pekee, tumepigwa tuone haja kusajili na kumpumzisha OGS
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mim nilikua kati ya watetezi wa mmasai hapa, ila kwasasa OGS OUT, yaani huyu hata angepewa Leicester City ktk EPL standing ingekua ya 12 nowKuna mtu bado ana matumaini na huyu mmasaai Ole?
Kila siku kwenye press anasema wanaimarika na wachezaji wake wanafanya vizuri,kwa nini tumkasirikie Ed wakati Ole ni mnafiki?
Yaani unaipenda nyumbu united alafu unazidi kupendeza...
Nina mashaka hapa,kweli wewe una damu ya nyumbu wewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ma'legend unafiki unaanza kuwatokaRio Ferdinand jana hiyo
Nani anayenunua wachezaji, meneja anayetaka kuwatumia sasa au klabu inayowataka kwa sasa na pia kwa siku zijazo
Nimecheza na Ole, alikuwa mchezaji mwenzangu, lakini matokeo hayaridhishi
Baadhi ya wachezaji wake muhimu ni majeruhi, lakini kwa ukubwa wa kiasi cha fedha kilichotumika, lazima utegemee zaidi ya kinachoonekana
Nimefedheheka, ni fedheha kuwa hapa
Sioni kama kuna njia mbele, sioni lengo lililowekwa na kwamba kupitia mkakati flani tutalifikia hilo lengo
Juzi GNeville karuka na bodi na Ed, jana Rio kaanza kumchokonoa Ole na bodi, mshipa wa kuoneana aibu umeanza kuwatoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani aliyeidhinisha OGS apewe timu wakati uwezo wake mdogo? Si bodi ndio ilimpa kibaruaBodi ya Man u iwafanyie nini zaidi ya haya since Ferguson departure:-
Tatizo ni sajili au makocha?
Mata - €44.5M
Fellaini - €32.40M
Di Maria - €75M
Shaw - €37.50M
Herrera - €36M
Rojo - €20M
Blind - €17.5M
Savic - €1.75M
Martial - €60M
Schneidelin - €35M
Depay - €34M
Damian - €18M
Sweveinstaiger - €9M
Pogba - €105M
Mktaryan - €42M
Bailly - €38M
Lukaku - €84.7M
Matic - €44.7M
Lindelof - €35M
Sachez - €34M
Fred - €59M
Dalot - €22M
Grant - €1.7M
Maguire - €87M
Bissaka - €55M
James - €17M
Sent using Cash Money Wings
Na marefa pia wameondoka sio fergie pekee. Howard Webb hayupo tenaTatizo n kocha tu... anatakiwa aje kocha kama jose Enrique Yule wa Barca.. me nakumbuka enz za Ferguson wachezaj walikuwa wa hovyo sana akina oshea beki Sylvester.. na bado team ikabeba ubingwa.. so inshu sio wachezaj..
Sent using Jamii Forums mobile app