Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Narudia tena Liverpool haina lolote, wanaoona walitupelekesha wananonngwa.
 
Hakuna anayepinga ubora wa Liver ila nimeonyesha ni kipi kinamfanya aonekane ni bora zaidi ya uhalisia ulivyo, na siyo kwamba nimesema hizo timu nyingine zikiimarika ndio liver atakuwa dhaifu, hapana ila ndio ushindani linganifu utapatikana vizuri, nimezungumzia wachezaji hao kwa machi ya jana dhidi ya Liver!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe jamaa mjinga kweli aisee, hapa tulikua tunaongelea mambo ya liver na utd, labda kama umesahau mjadala ulipoanzia kule juu


hakuna mtu ameongelea carrier zao kabla ya liver au utd, tunaongelea mambo ya epl hapa na sio scotland au ujerumani.....


next time jifunze kufocus kwenye mjadala usianze kuleta vitu vya kutoka nje...... huo u sir hakupewa kwa kufundisha scotland na wala legacy yake kubwa aliyonayo leo hajaipata scotland....... JIFUNZE FOCUS KWENYE MADA!


i'm off,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanazidi kuqa bora kwenye dimensions zipi? Kwa nini mnataka kuipaisha timu ambayo inafungika? Inadraw? Inakabika, unaweza ukapata chances za kupiga mashuti? Unaweza pia kuingia kwenye 18 na ukavuruga? Jana nikiwa kibanda umiza, mashabiki walikuwa wanashangilia wakiona liver ikiwa na possion United ikiwa inaposses wanakaa kimya nikaona unasema utoa comment. Huu ni ushabiki wa simba na yanga. Ulaya hakuna hiyo
 
kwaio man city alipochukua ubingwa msimu juzi kwa points 100 timu zingine zilikua kwenye mapito sio.....? hayo mapito hayaishi?


ukweli ni kuwa city msimu juzi na msimu jana walikua bora zaidi kuliko timu zote epl, na liver msimu jana alikua second best ila msimu huu ndio best...... hakuna cha timu kuwa kwenye mpito!


labda uniambie ulaya nzima timu ziko kwenye kipindi cha mpito, maana hata uefa wameenda final back to back...... simple they are the best right now!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mello anaenda kufanya nini kule?
JamiiForums atamwachia nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna timu haifungiki.....? hairuhusu wapinzani kufika kwenye box? mkuu unachotaka kusema hapa ni kwamba timu bora huwa hairuhusu wapinzani wafanye lolote!....


city wakati anafikisha point 100 alipigwa na utd pale etihad 3-2, hakua bora? barca ya pep haikuwahi kumaliza msimu unbeaten, haikua bora?.......




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo unadhani hatuna marinda?
 
matusi tena?
..... ushabiki wa hivyo sinaga!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnapenda kutoa historia ambazo hamzijui, European football isn't nightmare wabongo wengi tunavyoishi , mnapenda kurefer kutoa vitheory uchwara. Elewa nilivyokuambia.

Liverpool mbele ilikuwa na wachezaji wake nyota, jana ilicheza kwa uhuru 100 percent? No ilidunga ngapi? 01. Kwa nini una access kama hujawahi kuona dudu?
 
Epl ya sasa.

Klopp atachemsha kama guardiola

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumpate Bruno na boubakary. Halafu uje tena hapa. Itakuwa ni timu ya watu wenye umri unaokaribiana. Pogba akae pembeni.

Utaona kila unachopenda United.

Liver kwa man utd is an everage team. United imevurugwa na makocha moyes, VG morinnho na wote ni makocha wazuri. Philosophy ya utd ndio inayoshinda sio kocha kichwa. Ukija na falsafa za liver pool, sijui nn unaanguka. Katika hilo unaangalia viungo wanavyocheza, na watoto waliotokea academy wanakupa ile flavour ya utd. 0 extra or injured minutes you are fuc.ked. Liverpool knows it
 
Ukiandika sentence ikague,kama ni safi. Haya ndio matusi yenu vibandani. Washabiki wanaoichukia Manchester United wanatutukana sana vibandani. Ni bira niende hotel kuliko kuangalia mechi na watu nyie. Mnakera.
mkuu upo mtandaoni, hujui unaongea na nani, sidhan kama ni vema kumtukana mtu ambaye hajakutusi wala hajaandika tusi katika sentensi zake zote!.........


matusi ya vibanda umiza sidhan kama ni sahihi kuyahamishia huku, maana sio wote wanaongea matusi waliopo humu......

either way, jitahidi uushinde ubaya kwa wema! mtu akikutusi tabasamu kisha endelea na mambo yako, haikupunguzii kitu... huo ndio mtazamo wangu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…