Haha mutakata vya kusukuma sio?
Hii man u sisi tunaijua vizuri
Kama Liverpool anawakalisha leo Nu Casto ndo utamuweza?
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona hasira sana? kwani gemu ya mwisho mmeshinda ngapi?Nyie mbuzi leo mutashinda kweli? Au mutacheza kama kuku aliyekatwa kichwa..
Achana na ya jana..
Leo tuko apa kutangaza msiba mapema tu ..
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
teh teh tehNina uhakika kimoyo moyo mnaomba hiki kikombe kiwaepuke.
Hakuna namna, leo tutajua kama uchawi upo Ulaya.
Bila Rashford sioni cha maana tutakachoweza kukifanya leo..ngoja tusubiri saa 12:30 tuone team news
teh teh teh
bakora ya greenwood leo itakudondokea nyumbani kwako hata kama mutatufunga magoli 100
ole at the wheel.... sijui nimeandika sentensi sahihi?Tunataka cleansheet.
Ila kadri muda unavyokaribia pressure inanijia, maana last time nilikuja na matokeo yangu OT, dah noma sana.
ole at the wheel.... sijui nimeandika sentensi sahihi?
lazima presha iwe kubwa kwa sababu munahitaji alama 33 ili muondokane na laana ya kukosa ubingwa kwa miongo mitatu.
cool down brother...
Perfomance yake kwenye big matches ni nzuri,ana pace, na ni mzuri wakati timu inafanya fast transition kitu ambacho tunakihitaji leo..Movement zake pale mbele leo zingetupa imani kidogo..
teh tehUbingwa uko around, shida ni pride ya kwamba tumemfunga Man Utd.
Maana sasa hivi ni nyie tu mnaotupigia kelele kwamba hatuwawezi.
teh teh
ukimkuta mshabiki wa man utd anajisifia kuwa bora mbele ya liverpool kwa kigezo cha head to head msimu huu basi mpuuzie..
ni sawa sawa na mtu anayesifia kuongezeka kwa pato la taifa lisiloleta satisfaction yeyote kwa raia wa kawaida.
uchumi umepanda kwa asilimia 10
NyokoFull-time: Liverpool 3 Man United 0.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Umewapendelea sana aisee...Full-time: Liverpool 3 Man United 0.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Balaaa tu yaani kimvua cha mwishoni tu kimevunja daraja zimaCastle imevunja daraja
Ubonafsi mwingi sana aiseekwa mara ya kwanza nimeangalia highlight za bundesliga msimu huu kwa sababu ya huyo haaland.....
pale borussia amezungukwa na thorgan hazard, fundi jadon sancho na marco reus.
kwa hii style ya uchezaji wa haaland kama atakuja manchester united hii ya nyakati hizi tungelikuja kumtukana bure ed woodward, ole na haaland mwenyewe.
utofauti mkubwa uliopo kati ya greenwood na haaland ni kwamba mmoja wao kila timu anayokwenda anakutana na wachezaji wanaojua kumhudumia mshambuliaji.
niliwahi kuandika humu ndani ya kwamba mason greenwood amezungukwa na wachezaji vilaza ndio maana tunaogopa kumuingiza moja kwa moja kwenye kikosi cha kwanza...
greenwood kiufungaji anamzidi hata yule dogo wa barcelona mwenye thamani ya paundi millioni 40...
utofauti wao unabaki pale pale kwenye kupewa huduma stahiki (mwenzake amezungukwa na messi, griezmann, suarez, de jong n.k)
man utd hii inahitaji mshambuliaji anayejitafutia huduma mwenyewe mfano wa kylian mbappe, sergio aguero, carlos tevez, wayne rooney, luis suarez na karim benzema.
greenwood anajua kujiweka kwenye maeneo ya hatari kuliko mshambuliaji yeyote tuliyenaye.
imagine huduma zile anazozipata yesu wa manchester city aliyezungukwa na debruyne, sterling, mahrez, silva brother zimgeukie mason greenwood.
licha ya kuwa na uhaba wa washambuliaji ila kuikosa huduma ya haaland hakujanichukiza.