Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwenye mechi ya Burnley alisababisha faulo za kutosha (5 times fouled)

Amesababisha na ataendelea kusababisha penati za kutosha, na baadhi ya penati ndio hizo huwa tunakosa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku nililisemea hili humu,kuna mdau akasema for the meantime James ni wa muhimu kuliko Rashford..

Ukiacha Sancho,mchezaji gani mwingine una-propose aje kwenye hiyo nafasi??
Ungeniuliza mimi ningekuambia yule jamaa wa Ajax, anaitwa Hakim Ziyech(sijui kama nimepatia jina lake).
Jamaa yuko poa pia.
Uzuri RW anaeweza kucheza kama namba kumi.
Japokuwa hatujawahi kuhusishwa nae, sijui kwa nini.

Sent using simu mbovu
 
Kuna siku nililisemea hili humu,kuna mdau akasema for the meantime James ni wa muhimu kuliko Rashford..

Ukiacha Sancho,mchezaji gani mwingine una-propose aje kwenye hiyo nafasi??
Ziyech ndie mchezaji rahisi mzuri tunaeweza kumpata bila kuvunja kibubu, sema ni type ya 4-2-3-1 zaidi kuliko 4-3-3.

Sancho ndio anafit kabisa mfumo wetu.

Sema akija Sancho inabidi na midfield mtengenezaji vile vile aje, ila akija Ziyech anaweza kusolve tatizo la midfield yetu kutengeneza Magoli.
 
Mkuu usiniquote vibaya sio kwamba simkubali james, nampenda sana huyo dogo na kuwa squad player pia sio jambo baya na ni kweli Messi pia anastruggle timu zikipaki basi.

Lakini ligi ya uingereza ndio ilivyo, timu zinapaki sana Basi hivyo unahitaji specialist. Watu wanaoweza kushoot mbali, kufunga mipira iliokufa, killer pass za mwisho zile etc.
 
Sporting Lisbon wajiandaa na maisha bila Bruno Fernandez

Kocha wa Sporting CP (Silas) alipoulizwa kama kwenye mechi ijayo (ijumaa) dhidi ya Benfica Bruno atakuwepo alijibu kuwa, ana tamani Bruno awepo lakini hana uhakika

Meneja huyo aliongeza kuwa Sporting CP wapo tayari kushiriki kwenye mashindano msimu huu wakiwa na Bruno au bila ya Bruno

Swali ni kuwa, Bruno yupo mbioni kuondoka, je ni kwenda United au kuna timu nyingine inakimbiza mwizi kimya kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee Bruno inabidi tumchkue this January ili august tufanye usajili mwingine wa maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Mjukuu wa mtume tunampata kwa bei ya 30 mil tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu ila Rashid ana misimu mingapi EPL ukikompeya na Tammy..

#CFC


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…