Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu mbona una panic?? Jitahidi ukae mbali na stress. Utaumia mm ni man utd damu. Nilikuwa pub moja naangalia game, kakaja kamwanachuo kamoja kana chuchu, kakatamka maneno wkt mechi inaendelea akimwambia mtu kwenye simu, eti ni mechi ya nyumbu vs. xxx niliunia sana.

Nilipokageukia kafupiiii nikagundua akili zake zipo karibi na Mavi. Nikakaacha, wakati mechi inaendelea kanaongeaongea nikaamua kuhama maana ningepata kesi. Mkuu nimehama vibanda umiza kwa sabb ya Wapumbavu wa mpira(mashabiki uharo) kitu chakwanza

Wanaichukia man utd najua sababu(timu yenye mafanikio

Tukicheza na timu yyt lazima wajae

Sisi tunamafanikio wengine wanayatafuta

Hatuna shobo mchezaji, kocha akileta shobo fukuzilia mbaaari
You don't know me mkuu,

Mimi ni mpole/mstaarabu kwa wapole/wastaarabu, ila ni kichomi kwa mburulaz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana yule mwanamke anadai hataki bruno aje OT kwa sabb anajua mziki wake utakuwa wa kisengereua liverfuc k
 
Mkuu, No panic

Eti akili zake zipo karibu na Mavi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila nae solskajaer alifanya maamuzi magumu sana kumuamini martial na rashford pale zile timu za top 5 hamna anaeweza kufanya ukiangalia na mwenendo wa timu ulivyo chelsea wamelazimishwa kuikubali ile hali bila kufungiwa tusingeona haya mambo ya wakina mount kamuacha herrera kamuamini scott
 
Mkuu kwa Herrera OGS hakutaka aondoke, ni kosa la akina Ed

Maana OGS alisema kwamba Herrera ni mchezaji muhimu kwenye mipango yake (alisema kabla Herrera hajaondoka) lakini hawezi ku push, si unajua ni Mr. Yes Man
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…