Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakuu hesgoal ilikuwa inazingua zingua asee! Naingia YouTube kuona highlight ya chap.

Nani yule alipaisha mpira wakati goli liko wazi?
 
√Brandon Williams yuko poa sana..Hakuna Kitu Shaw anamzidi huyu dogo zaidi ya unene,lakini dogo kuna vitu amemwacha Shaw..dogo movement zake zipo poa na anafika ontime kwenye baadhi ya maeneo kufanya recovery..very impressive

√Mata is not anywhere near from what we want in No 10 position,lakini akicheza atleast unaona kitu sio kama Lingard huyu aliyejifia

√Natamani sana tumpate mchezaji damu changa atakayecheza kama Matic..yupo so confident na mpira mguuni..proper midfielder

√Greenwood ni top class finisher ajaye kama atakuzwa vizuri

√Norwich ni wabovu sana..Hakuna kikubwa cha kujivunia kuwafunga nne old trafford

√Next PL match ni Liverpool away,itakuwa noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…