Na Jones abaki??
Umekuwa mpoleeeeee leo ...safi sana ,hii hali ikiendelea mashetani wote tutawakuta peponi....
Chama langu la utotoni Norwich City nawaamini sana,hawatanuangusha
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamkumbuka Mtu mzima Mario Balotel??Wakomee Chelsix hizo goli ndugu usipende kukalili maisha toka lini Kupigwa Tano kama watoto wadogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani na nyinyi si walikaza sare ya 1 kwa 1 pale kwao Old Toi ,basi usiwe na shaka mkuu....wakija hapo anfield kaa nao vizuri tu watakupa point 3,CS,na magoli ya kutosha tu ...hawana hiyana hao...Ha ha ha, aisee!
Haya maneno yote yamekuja baada ya nyie kuwafunga, sisi walitukazia, tunawasubiri tar 19 tuwajambishe.
Safi sana mkuu.You don't know me mkuu,
Mimi ni mpole/mstaarabu kwa wapole/wastaarabu, ila ni kichomi kwa mburulaz
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiziona posts za sikuhizi humu ndani basi huwa ninajikumbuka mimi mwenyewe sana nilivyokuwa
Mumesajiri mchezaji mpya anayeitwa David James????
Au ndio weweseko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa sijawahi kumuona akicheza mechi tano mfululizo. Bailly nae majeruhi. Kuna tatizo sehemu sio kwa majeruhi wote hao.Phil Jones is injured, Maguire is injured
Man Utd wanawaza kupata beki wa kati kwa mkopo
Wakati huo huo tunataka kumuuza Rojo dirisha dogo
Hivi inakuaje Jones anaumia kila baada ya mechi moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kasaini mkataba mpya majuzi tu hapa hawezi kutoka kwa pesa hiyo.Muda wowote kuanzia sasa, bruno atakuwa mchezaji wa 'theatre of dream'
Sent using Jamii Forums mobile app
Jones hata asipoumia, hakuna mchezaji pale. Kazi kurudisha mpira nyuma tu. Confidence imepungua sana. Wakati sosha anakuja alimwambia Fred kua ana tatizo la kurudisha mpira nyuma, Fred amejifunza sasa hivi ni pembeni au mbele, Jones sasa yani kila mechi anayocheza lazima acheze na kipa. Jamaa kama hana akili kabisa kichwani. Yule bora wamuuze tu huko Southampton walikomtoa. Dogo Axel aanze kama yupo fit anaujua sana, pia Rojo japokua pass zake hua hazieleweki ila anajua kukaba. Timbo nae ana kamwili kadogo CB hawezi kucheza, wampange akipige CDM awe kama CARRICK.Phil Jones is injured, Maguire is injured
Man Utd wanawaza kupata beki wa kati kwa mkopo
Wakati huo huo tunataka kumuuza Rojo dirisha dogo
Hivi inakuaje Jones anaumia kila baada ya mechi moja
Sent using Jamii Forums mobile app
baily mgonjwa tokea yuko spain, hata AFCON hakushiriki kwasababu ya ugonjwa. Jones tatizo ni form, kwa hali ilivo hawezi kucheza tena United.Huyu jamaa sijawahi kumuona akicheza mechi tano mfululizo. Bailly nae majeruhi. Kuna tatizo sehemu sio kwa majeruhi wote hao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa unamuongelea huyo japo useme EDU WA NYUMBU....maana unatustua kwani na sisi DoF wetu ni Edu.Edu amesema hawezi kutoa pesa ya usajili kwa sababu hamuelewi kocha atafikisha timu wapi. Anashauriana na body kuendelea kumuamini OGS wampe hela ya usajili au wamtimue watoe fungu la usajili kwa kocha ajaye.
Sosha anaonekana kama anakula mshahara bure tuu
Sent using Jamii Forums mobile app