Micah Richards [emoji860]"I feel a bit sorry for Rashford because if he was in City’s team he would get 40 goals a season."
Je kuna ukweli hapa? Kuna ka hisia kananijia tunaua vipaji maana daaaa
Na Jones abaki??Sijawahi kuwa na mashaka na uwezo wa Young lakini kubwa zaidi commitment yake akipewa majukumu
Lakini ni muda sasa wa yeye kuondoka United
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha na watajamba sanaBaadhi ya wapinzani siyo lazima kuwajibu, wengine tuko hapa kukupeni jambajamba siyo kujadili mpira.
Richard yupo sahihi,vipaji vinakufa hapo hakika....mtu kama sanchez aliyeuwasha kule London hapo kashindwa na kaflop mazima,mifano ni mingi....Mikhi,Pogba,Fred,Lingardinho,Martial,Mata, Lukaku.......hapo nimewaacha kina di maria na Memphis huyu DJ hana muda mrefu nae atafuata wenzieMicah Richards [emoji860]"I feel a bit sorry for Rashford because if he was in City’s team he would get 40 goals a season."
Je kuna ukweli hapa? Kuna ka hisia kananijia tunaua vipaji maana daaaa
Unafurahia kupigwa tatu kama yanga wanavyofurahia sare...aiseeeeeh msumekuwaje nyie nyumbu....ndio mumefikia huku!!!!??Wakomee Chelsix hizo goli ndugu usipende kukalili maisha toka lini Kupigwa Tano kama watoto wadogo [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mumesajiri mchezaji mpya anayeitwa David James????Alafu mechi na Norwich Shaw anaanza pumbavu, Dogo Brandon Williams licha ya Jana kuteleza ila alikuwa poa na hata alipoteleza alikuwa anajaribu kuokoa sehemu ya Jones pumbavu.
Brandon hatabiriki mpira anapigaje anaweza kusogea golini letu na mpira mkamvamia akala kona mbio mbio na accurate pass kwa Fred tofauti na Shaw au Young.
Nataka Dogo aanze na Norwich.
Greenwood tusimuonee dogo ana roho safi hata pale alipompa assist Rashford angekuwa ni Rashford angebutua ovyo.
Kingine kampasia Lingard jamaa ovyo kisigino kurudisha.
Wan Bissaka afadhali anapandisha kidogo.
Hili suala la David James kupigwa Sub naomba ufafanuzi please.
Now tunajua umuhimu wa Maguire aseee!
Kuhusu Lingard aaah! Duh! OLE OLE OLE wewe kakupa nini huyu jamaa ovyo tu.
Kama Norwich Maguire asporudi wakuu mnaonaje tukawa na 3 backs 5 mids na two forward.
Mids za kupanda na za kusaidia defense maana Jones ujinga mtupu.
All in all hii timu siku hizi inatabirika. Kuna wachezaji wasiotabirika.
Greenwood, Williams, Matic, Fred hasa pass zao tatizo wakiwapoteza wapinzani sasa kimbembe pasi wampigie nani, mpira ukitua kwa lingard unaishia kuburuzwa, ukitua kwa Rashford ustaa mwingi, kwa Perreira shuti za ovyo mara chache assit ukitua kwa Greenwood kuna afadhali.
Rashford anaboa kitu kimoja hana teamwork ni uchoyo na kutaka sifa ona free kick inapigwa ovyo.
Na kocha mwe mwe mwe hawezi hata kujiwekea vitunguu machoni aonekane amekasirika dah jamaa kakunja nne madogo wanachomesha timu.
De gea mmmhhh huyu ukimuomba tu anakupa hana hiyana siku hizi,Wachezaji wa kubaki Man u ni:-
Degea
Bissaka
Rashford
Greenwood
Fred
Pogba
Mac
James
Waliobaki wote wanatakiwa wakatupwe shimo la tewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekuwa mpoleeeeee leo ...safi sana ,hii hali ikiendelea mashetani wote tutawakuta peponi....Sina jazba Mkuu
Nimeongelea uhalisia, hivi wewe ukiichambua Arsenal yako na mapungufu yake ina maana ni jazba?
Kuna vitu huwa tunakubali kwenye game (kama kuzidiwa) ila kuna mambo mengine unaona kabisa kuna uzembe wa wazi unafanyika
Sent using Jamii Forums mobile app
Stage iliyofikia sasa hata aibu hawana wanaachia ile mizinga....liwalo na liweWanajamba kwa sauti au ile ya kimya kimya ambayo unashtukia harufu tu?
Stage iliyofikia sasa hata aibu hawana wanaachia ile mizinga....liwalo na liwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wanakuja Anfiled au mnawafata?Ha ha ha, aisee!
Haya maneno yote yamekuja baada ya nyie kuwafunga, sisi walitukazia, tunawasubiri tar 19 tuwajambishe.
Hivi wanakuja Anfiled au mnawafata?
Unafurahia kupigwa tatu kama yanga wanavyofurahia sare...aiseeeeeh msumekuwaje nyie nyumbu....ndio mumefikia huku!!!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekuwa mpoleeeeee leo ...safi sana ,hii hali ikiendelea mashetani wote tutawakuta peponi....
Chama langu la utotoni Norwich City nawaamini sana,hawatanuangusha
Sent using Jamii Forums mobile app
TrueTatizo kubwa la United kwa sasa ni uwepo wa OGS
Najua United ina tatizo kubwa kuliko coaching staffs lakini kuna mambo ambayo ni madogo madogo kwa benchi la ufundi makini kwa wachezaji hawa hawa tulionao tungeweza kuyashughulikia. Kuifunga Watford, Aston Villa, Newcastle, Everton, Bournamouth huhitaji kuwa na Christian Ronaldo au Lionel Messi
Nikimuangalia OGS namuona ana mentality zaidi ya Sporting Director kuliko kocha, always he is talking about the future, about United culture, identity, about United way, about something big than training and managing players
We need a trainer in a coaching position and we need Sporting director in Director of Football position.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa mkuu OGS hana analojua zaidi haya uhamasishaji.... Yani unaangalia tukiwa tunashambulia positioning inakuwa kazi wachezaji hawajui hata wakae wapi......mwisho tunapiga pasi uchwara za kurudi nyuma.....Tatizo kubwa la United kwa sasa ni uwepo wa OGS
Najua United ina tatizo kubwa kuliko coaching staffs lakini kuna mambo ambayo ni madogo madogo kwa benchi la ufundi makini kwa wachezaji hawa hawa tulionao tungeweza kuyashughulikia. Kuifunga Watford, Aston Villa, Newcastle, Everton, Bournamouth huhitaji kuwa na Christian Ronaldo au Lionel Messi
Nikimuangalia OGS namuona ana mentality zaidi ya Sporting Director kuliko kocha, always he is talking about the future, about United culture, identity, about United way, about something big than training and managing players
We need a trainer in a coaching position and we need Sporting director in Director of Football position.
Sent using Jamii Forums mobile app