Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,504
- 28,693
Huo mstari wa mwisho unafurahishaKama kweli MAN U mnataka kujenga timu kali ya kubeba makombe kwa sasa mchukueni ANTONY CONTE.
Mbali na hapo mtateseka kama Lazaro wa biblia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baadhi ya wapinzani siyo lazima kuwajibu, wengine tuko hapa kukupeni jambajamba siyo kujadili mpira.
Pia hata mimi naona hivyo akipewa anachotaka ni kocha mzur sanaKama kweli MAN U mnataka kujenga timu kali ya kubeba makombe kwa sasa mchukueni ANTONY CONTE.
Mbali na hapo mtateseka kama Lazaro wa biblia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka atakua POGBA.Akiendoka lingard,young na jones tukipigwa tutamsingizia nani wakuuu?
Wachezaji wa kubaki Man u ni:-
Degea
Bissaka
Rashford
Greenwood
Fred
Pogba
Mac
James
Waliobaki wote wanatakiwa wakatupwe shimo la tewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alisikika mlevi mmoja hivi huko Manzese kwa Mfuga MbwaKilichobaki ni kumpa mkataba wa muda mrefu huyu Solskjael hadi 2039, natumai ndani ya miaka 5 atakuwa ameshaijenga Manchester United na kurudi kwenye zile zama za kutesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Gomes nae???Alafu mechi na Norwich Shaw anaanza pumbavu, Dogo Brandon Williams licha ya Jana kuteleza ila alikuwa poa na hata alipoteleza alikuwa anajaribu kuokoa sehemu ya Jones pumbavu.
Brandon hatabiriki mpira anapigaje anaweza kusogea golini letu na mpira mkamvamia akala kona mbio mbio na accurate pass kwa Fred tofauti na Shaw au Young.
Nataka Dogo aanze na Norwich.
Greenwood tusimuonee dogo ana roho safi hata pale alipompa assist Rashford angekuwa ni Rashford angebutua ovyo.
Kingine kampasia Lingard jamaa ovyo kisigino kurudisha.
Wan Bissaka afadhali anapandisha kidogo.
Hili suala la David James kupigwa Sub naomba ufafanuzi please.
Now tunajua umuhimu wa Maguire aseee!
Kuhusu Lingard aaah! Duh! OLE OLE OLE wewe kakupa nini huyu jamaa ovyo tu.
Kama Norwich Maguire asporudi wakuu mnaonaje tukawa na 3 backs 5 mids na two forward.
Mids za kupanda na za kusaidia defense maana Jones ujinga mtupu.
All in all hii timu siku hizi inatabirika. Kuna wachezaji wasiotabirika.
Greenwood, Williams, Matic, Fred hasa pass zao tatizo wakiwapoteza wapinzani sasa kimbembe pasi wampigie nani, mpira ukitua kwa lingard unaishia kuburuzwa, ukitua kwa Rashford ustaa mwingi, kwa Perreira shuti za ovyo mara chache assit ukitua kwa Greenwood kuna afadhali.
Rashford anaboa kitu kimoja hana teamwork ni uchoyo na kutaka sifa ona free kick inapigwa ovyo.
Na kocha mwe mwe mwe hawezi hata kujiwekea vitunguu machoni aonekane amekasirika dah jamaa kakunja nne madogo wanachomesha timu.
Gomes nae???
Tuanzebe?
Hahaa Atabaki OleAkiendoka lingard,young na jones tukipigwa tutamsingizia nani wakuuu?
Kidogo mchana nilipie king'amuzi changu niangalie mech kwa utulivu kilikwisha jana roho ikagoma nikahisi leo kichapo kipo walahi roho ingeuma unalipia na unapigwa ka elfu 44 kangu kangeuma sana nikasema ntasikilizia kibanda umiza bado buku langu roho ikawa inauma litakwenda majamaa humu wamenipa moyo nimeenda kuchek nimeliwa 500 miatano nimekula kipindi cha pili tulikuwa vizur kidogo.
Shukrani sana mkuu Darmian na Mc cane mlinipa ujasiri niliogopa sana kikosi kilipotoka fikiria unaambiwa jones anamaliza namba 5.
Akiendoka lingard,young na jones tukipigwa tutamsingizia nani wakuuu?
Wachezaji wa kubaki Man u ni:-
Degea
Bissaka
Rashford
Greenwood
Fred
Pogba
Mac
James
Waliobaki wote wanatakiwa wakatupwe shimo la tewa.
Sent using Jamii Forums mobile app