Timu yetu mbovu sana wala ucpoteze muda kuja kubeza hapa, sis fans wa utd tunafaham hatuna timu hapa, tuna kikundi ambacho hakiwezi pata namba hata leicester city
Sasa mbinu huna unasimama kufanya nini kaka bora akae tu.
Ni sawa siku ya pepa hukusoma kabisa halafu ujitahidi kukumbuka hutapata kitu weka booklet pembeni piga usingizi subiri pens down