Manchester United (Red Devils) | Special Thread

"Kuliko niwe kocha wa Man United bora nikafundishe timu ya taifa ya Maldives. Nikikosa ofa kabisa naenda zangu kula bata tu"

Pep Guardiola
Acha kukopi vitu kwa shafiiiii dauda



Here is a full sentence of what he said;

"Maybe not the Maldives because it doesn't have any golf courses but after training City, I won't train United, just like I would never train Madrid,"




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeona na wewe uonekane katika watu na wewe umo kutuletea Swala la kipuuzi hata ukimwambia shabiki wa MANCHESTER UNITED mwenye miaka 2⅓ atakucheka mpaka afe kwa jinsi ulivyo mkubwa afu BRAINLESS
,Swala la kuleta hoja kama huna kichwa juu ya mabega pls uache sio lazima kila siku uonekane copy dat.
"Kuliko niwe kocha wa Man United bora nikafundishe timu ya taifa ya Maldives. Nikikosa ofa kabisa naenda zangu kula bata tu"

Pep Guardiola

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo kufeli tu gemu ya arsenal, rashid aondoshwe...?
Hajafeli gem ya arsenal ni timu nzima kipindi cha kwanza ilikuwa hovyo cha pili walicheza fresh walicheza kama walivyocheza mech ya watford aliengalia hii mech anajua viwango vilikuwa chini sana ktk hizo mech mbili

Rashford ni mchezaj wa mech kubwa kwanza sijaona huko kwa wajuz wa mpira wanamjadili zaidi ya nyie hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mchezaji wa soka unafaa uwe mvumilivu aisee.....kati ya wachezaji wa man u ambao hawapaswi kulaumiwa msimu huu ni Rashford... Nadhani kawapa pointi za kutosha msimu huu... Eti mchezaji wa mechi kubwa kwan ana magoli mangapi alipocheza na timu kubwa msimu huu...?
 
Mkuu mbona unakuja juu ,shaffih ni man u fan , mimi nimeileta japo kaongeza chumvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…