Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Allegri..

Ana-uwezo wa kuitengeneza chemistry ya timu na ikawa competetive!

Ila hakuna kocha aliyekamilika ila tunasema 'at least fln'
 

Kocha hana mbinu, mechi ya Arsenal unakunjaje nne wakati timu inapelekeshwa.

Badili mfumo ondoa wajinga weka watu badili mbinu be unpredictable ole na soka lake very predictable.
 
Iko Poer sana haikwani yani hapa hawanipati vibanda umiza siku za mechi kubwa kubwa sitaki ujinga maana huwa zinaumiza moyo sana plus kutaniwa hahaha [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Inavyozidi kupakuliwa na kutumika ndivyo inavyozidi kuwa nzito so tegemea siku kukwamakwama siku zijazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Allegri..

Ana-uwezo wa kuitengeneza chemistry ya timu na ikawa competetive!

Ila hakuna kocha aliyekamilika ila tunasema 'at least fln'
Hamna kocha hapo kocha aliefaa kuifundisha hii timu ni pep na yule babu wa buyern aliestaafu basi wengine wote michosho
 
Afadhali aje, au yule jitu Adama. Maana Rashford nyoro nyoro anajiona star.

Inauma kuona fighter James anafanyiwa sub huku fat and motherfucking oxygen thieves like Rashford na Martial yanazurura ovyo uwanjani
Wamewabeba mara ngapi....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…