Bila bailly kuumia hakukuwa na fursa ya kumsajili maguire hawa wakina bailly na rojo wakuuzwa wanakula pesa wanacheza mech tatu wanarudi hospital√Nasubiria tu reaction ya Ole kwenye dirisha dogo hili..squad depth+quality bado sana
-Mata is dead
-Matic too slow..yaani kama kibabu cha miaka 80
-Shaw is useless
- Depending on Lingard in 2020 is a joke..hastahili hata kuwa kwenye matchday list
√Uchezaji wa Maguire sometimes unaniboa kinoma, anapenda kukaa na mpira na hakuna la maana analolifanya..move the fu.ckin ball faster..Anapata free header anashindwa kufunga
-Hii timu msimu wote huu tumekuwa na hali ya kupata confedence na kuhisi tumerudi atleast,then tunakutana na kipondo..it's real disgusting
Namuulizia yule mtembeza misimamo ya league kwenye kila thread. Leo yu wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii timu huwa inashinda kutokana na morali Za wachezaji tu siku wakiamka vizuri wanafanya poa siku wakiamkia kiunoni wanazingua. Ila sioni mpaka leo kama kuna kitu kocha ameongeza zaidi ya kusajili, hana mbinu wala mpango kazi wa kushinda mechi anapofeli mfumo A inakua ndo imetoka hiyo. Na bado kama haoni umuhimu wa kupata kiungo mzuri January hii tuhesabu maumivu,hamna inapoenda hii timu tunadanganyana tu yani.
Hata Sub zake zakukariri tu leo Rashford hamna alichofanya hajadribble hata mara moja lakini kamtoa James sababu kakariri makame hatoki na james ndo sub ya greenwood hii ni constant haijalishi wameperfom vipi uwanjani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlituacha point kama 10 now 4 tutaona Mimi na wewe nani atakuwa juu ya mwenzieDuh Ole ajapata dawa ya kuzifunga team ndogo ndogo zina mpa taabu sana
Msimamo haupo au ?Mkuu umeongea, juzi tuliona Lampard aligundua Emerson anazingua akamtoa mapema kabisa akaingia Georginho mpira ukabadilika na wakashinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlituacha point kama 10 now 4 tutaona Mimi na wewe nani atakuwa juu ya mwenzie
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanasubiri yale maskrinishuti yako ya sofaskoo mkuuMkuu umeongea, juzi tuliona Lampard aligundua Emerson anazingua akamtoa mapema kabisa akaingia Georginho mpira ukabadilika na wakashinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Badala ata afanye kuswitch James atokee kushoto ambako ndo yupo comfortable napoHii timu huwa inashinda kutokana na morali Za wachezaji tu siku wakiamka vizuri wanafanya poa siku wakiamkia kiunoni wanazingua. Ila sioni mpaka leo kama kuna kitu kocha ameongeza zaidi ya kusajili, hana mbinu wala mpango kazi wa kushinda mechi anapofeli mfumo A inakua ndo imetoka hiyo. Na bado kama haoni umuhimu wa kupata kiungo mzuri January hii tuhesabu maumivu,hamna inapoenda hii timu tunadanganyana tu yani.
Hata Sub zake zakukariri tu leo Rashford hamna alichofanya hajadribble hata mara moja lakini kamtoa James sababu kakariri makame hatoki na james ndo sub ya greenwood hii ni constant haijalishi wameperfom vipi uwanjani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shabiki wa chelsea yule bana sio wa hii timuHaya sio mawazo yakibingwa nimawazo ya kichaa yaani uwazie ubingwa?? Kwa kushinda mech mbili..... nyie mashabiki wa hii timu kazi mnayo
Tatizo hujanielewa kwanini nasema Raiola yuko sahihi kwa alichokisemaMfate huyo Raiola, maana naona ingekuwa kuna timu inaitwa Pogba baadhi yenu mngekuwa Pogba/Raiola Fc
Pogba boya tu kama maboya wengine, tuna majeruhi ya kutosha halafu yeye ndio anazingua
Akina Xaka, Kolasinic, Kostas wote hawakuwa fiti 100% lakini wamecheza, halafu boya mmoja anaitwa Pogba anajiona star hawezi kucheza kuipambania timu
Arsenal leo wametuzidi kwenye kiungo, angekuwepo Tominay wasingetawala game, first half
OGS naye ana share ya makosa, how anaanza Lingard mbele ya Pereira kwa form zao kwa sasa
Makosa mengine ya OGS ni ya siku za nyuma, alishindwaje kusajili midfielders wakati Fellaini na Herrera wameondoka. Angesajili kiungo tusingekuwa tunategemea Pogba kwa kiwango hiki
Very poor first half
Sent using Jamii Forums mobile app
Badala ata afanye kuswitch James atokee kushoto ambako ndo yupo comfortable napo
Kwanza lingard katutia gundu toka acheze cheze pale kwenye uwanja wa arsenal ishakuwa inshu anapewa assist na lukaku anampitiliza badala ya kumshukur anamkwepa mshikaji anaenda kucheza cheza