Sasa kama mpinzani kacheza vizur kwa nini usimpe sifa? Arsenal kacheza vizur kashinda au nyie huko chelsea ukizidiwa mbinu bado utajisifia? Leo united walikuwa hovyo arsenal waliziba nafasi
Ukifungua nafasi kama lampard kwa hii timu utapondwa kila uchwao
Aisee sijui hii kocha hajui kama huyu mtu hana takwimu nzur kitu nashangaa sana fikiria mtu kama lalana,keita na orig wanaanzia bench bado wanagoli nyingi kushinda lingard ambae kila mech lazima acheze