GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,068
- 16,381
Huyu kaishiwa mbinu nothing new, una'fail ManUtd yenye uwezo wa kununua wachezaji wawili kwa £70/70 pounds milion kwa mpigo ndio utaweza fanikiwa timu yenye m/kiti m'baili kama Daniel Levy?Muda sio mrefu ataanza kutafuta mchawi ni nani kama kawaida yake,,yeye hujitoa tu kwenye lawama
Atafurahi na roho yake..Huyu kaishiwa mbinu nothing new, una'fail ManUtd yenye uwezo wa kununua wachezaji wawili kwa £70/70 pounds milion kwa mpigo ndio utaweza fanikiwa timu yenye m/kiti m'baili kama Daniel Levy?
Pale kaenda kudhalilika tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule mwirani kanipigia bonge moja la goli,ikabidi mkimbie na pichu mkononi
Team news ni lisaa limoja kabla ya mechi..saa nne kamili mzigo utakuwa njeVikosi vimetoka
Issue ni wapo teyari kulipa dau ambalo ManUtd wanataka? £120milion
Mytake, thaman ya sasa ya kirusi ni £40milion na Woodwad hawez kubali kumuuza kwa bei hii, kazi ipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana aisee ukitoa De bruyne hakuna medfield yoyote uingereza kushinda Pogba.
Mchezaji anaekupa Double digits ya magoli na Assist ni nadra sana kuwapata.
TUMEPATA PIGO BAYA SANA KWA KUONDOKA POGBA...TIMU SASA INA WACHEZAJI WA KAWAIIIDAAA KAMA ARSENAL, HATUNA MTU WA MAANA PALE KATI.POGBA KUWEPO TU KWENYE FIRST ELEVEN TIMU PINZANI HAWAKAI KWA RAHA.GGMU
Tuingie sokoni tusajili wachezaji wakutuimarisha..huyu Pogba ni wakuuzwa hata kwa £7m..shenzi zake
GGMU
Tuingie sokoni tusajili wachezaji wakutuimarisha..huyu Pogba ni wakuuzwa hata kwa £7m..shenzi zake
TUMEPATA PIGO BAYA SANA KWA KUONDOKA POGBA...TIMU SASA INA WACHEZAJI WA KAWAIIIDAAA KAMA ARSENAL, HATUNA MTU WA MAANA PALE KATI.POGBA KUWEPO TU KWENYE FIRST ELEVEN TIMU PINZANI HAWAKAI KWA RAHA.
Sent using Jamii Forums mobile app
GGMU
Tuingie sokoni tusajili wachezaji wakutuimarisha..huyu Pogba ni wakuuzwa hata kwa £7m..shenzi zake